Joke aside...
Poleni sana mashabiki wa Man U,inauma lakini ndio mpira wenyewe sasa.
Pole zangu za dhati zikufikie
Mdakuzi popote ulipo.
I can feel you bae...

Nikujuavyo leo unaweza lala na viatu au usilale kabisa.
Nakumbuka uliwahi kuniambia "Kufungwa kunaongeza mapenzi kwa club yako,ukishinda kila siku hadi raha ya ushabiki unaikosa...hata kushangilia unachoka
Ila ukifungwa leo,kisha ukaja kushinda...unaweza kupanda juu ya meza kwa furaha"
Naam...huo ndio ukweli,japo hakuna anayependa kufungwa

Period