Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Poleni sn wandungu.....

Timu yenu bado inahitaji watu kadhaa hasa wenye uzoefu mkubwa Wa kuweza kuwaongoza wenzake uwanjani.
Carrick, Rooney hawa bado wanahitajika sn. Lkn wakiwaacha hawa hawa vikaragosi basi inahitajika nguvu ya ziada sn......

Ni hayo tu kwa Leo wadau wangu Wa nguvu.

Cc: Nzi everlenk RRONDO herrera and my cute b and all ManU fans......

One love wakuu...
In Jose Mourinho we still
Hongera kwa ushindi, kiroho safi lakin.
 
Screenshot_20161024-072404~2.jpg

Hiyo ni baada ya kusikia watu wakisema...
Pigaaaa Mbwaaaaaaaaa..!

*Conte sio mtu wa mchezo-mchezo
 
Kupata au kukosa yote ni matokeo.....Leo tulishindwa .... lakini maisha bado yanaendelea na yanapaswa kuendelea..... Glory Glory Manchester United.
Pole, mtu akifingwa huja na kila aina ya maneno swithrt...pole sana swthrt
 
Herrera deserves to be in the 1st eleven for every match in the league and Europa. It is Fellaini who should be benched for Bastian or Michael..
Sawa kiongozi, lakini lazima atawaangukia wakongwe. When things go wrong, the old could turn gold!!
 
Haya Masuala Ya Kurudi Utokako Ni Mbaya Sana.

1) Guadiola karudi Camp Nou kala 4

2) Van Parsie karudi Old Trafford kala 4

3) Mourinho na Mata wamerudi Stamford bridge wamekula 4
 
Maana halisi ya KIBONDE yaani kimteremko poromoko kulee chini kabisa maji yanapojaa hahaha VIBONDEE MPOOOO!!!?
 
Pore, mwaya pole. Maumivu ni haki, kulia ni haki na kutokwa na machozi ni haki.
Dhambi ya kumfukuza LVG wakati alianza kujenga kikosi poa inaanza kuiadhibu Man. disunited.

Asante sana nishapoa tunaanza kwa upya na New week..... dhambi ?.....anyway muda wake uliisha....mtafutaji hachoki.
 
Back
Top Bottom