Ibrahimovich needs a rest.....he is tired if not finished!
Mnakelele mno mungu anawaona ndio maana mnapigwa kizembe tu hivyo!!!! Kocha wenu nae maneno mengiiiiiii, tena mngepigwa hata sita hivi tuwaite man sixYaah utadhani wapo mazoezini wsmetuangasha wengi leo but ndio mchezo kujipanga kwa next game ligi bado mbichi
Usiwashangae hao. Wamechanganyikiwa.. Ushindi 1 katika mechi 6 zilizopita.Away fans singing more than home fans...[HASHTAG]#classicUnitedway[/HASHTAG]
Didn't you see Conte asking them Rent Boys' fans to raise up their voices? You are winning 4-0, you don't need to be told by anybody to cheer up more.Realy !!?
Yani mimi Gunner mwenzio...aiseeeNilidhani wewe ni Man Utd... Samahani
Mbona nyie huwa mnajaa kule kwetu?Naona leo mmeahamia kwenye uzi wetu
Hadi wewe umekuja huku, kweli ya leo kali.
Hah... 4 fuckin 0, i felt asleep when we score the forth goal, it was boringDidn't you see Conte asking them Rent Boys' fans to raise up their voices? You are winning 4-0, you don't need to be told by anybody to cheer up more.
Anyways, this is nonissue..I was [HASHTAG]#justsaying[/HASHTAG]
Sasa mbona saa hizi muda umekwenda?Kama vipi nirushie hata ka laki tuNifah mama chagua tukajirushe wapi leo nina ka laki 3 hakana kazi
