Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,636
- 25,617
Kipindi tuko na Larsson Fergie alimtumia vizuri sana lakini Mourinho kumfanya Ibra striker tegemezi si sawa. Mtu ana 35yrs kucheza 90minutes as lone striker sio kazi ndogo.
Leo alikuwa anakabwa na three chelsea centre backs atafanya nini? Ingawa three goals leo zilikiwa individual school boy mistakes bado namlaumu Mourinho na upangaji wake wa timu.
Game na man city alikosea kupanga timu tukapoteza first half, hii ya leo tena kakosea kupanga timu tumepoteza ndani ya 20minutes!
Fellaini anauwa chemistry ya game, anapoteza mipira mchango wake ni mdogo kuliko gharama. Lindgard ni mchezaji mzuri, ila si mzuri kiasi cha kumuweka Martial nje.
Ila Mourinho lazima aanze na Fellaini then tukishajichimbia kaburi ndio anabadili timu tujifukue kaburini!
Kipigo cha leo kimeniuma sana, Chelsea sio wazuri tumewapa sifa za bure tu, nashukuru kabla ya mechi nilikula chakula maanake hali niliyonayo sijui kama ningeweza kula leo.
Anyway jumatano tuna game vs man city hapo ndio Mourinho atuoneshe yeye ni nani maanake nishaanza kum doubt sasa hivi.
Good analysis.
Mkuu Herrera nafikiri nae ataungana nami kwamba Maourinho anakosea kuipanga hii timu halisi ya Waingereza.
Arsenal waliwafunga Chelsea kwa kujaribu mipira ya juu na pembeni ambapo mabeki wa Chelsea Cahil na David Luiz walikuwa wanaacha nafasi kutokana na uvutwa na viungo wa Arsenal.
Mourinho leo anawambia wachezaji wake wakae na wakaribishe mashambulizi halafu wamtegemee Fellaini ampatie mipira Ibrahimovich ili wafunge kwa counter attack!
Pia kukosa Rooney kuumia Mourinho angepanga timu ilocheza na Liverpool au Fenerbahce angalau ingepata sare.
Zlatan ibrahimovic goli 15 EPL havuki amepoteana....
kipindi cha mpito vumilieni wajameniii ...Ding dong

