Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourihno alitakiwa ampange carrick leo yule ni namba 6 in nature ndo maana kuna kipindi hata babu alikua anamtumia kama beki 4/5

Timu haijabalance leo kati ya viungo/beki na forward,beki imepwaya sana leo

Herera ni mzuri ila katika marking hayuko vizuri sana na pasi zake nyingi ni Square pasi/pasi za pembeni tofauti na carrick ana uwezo wa kulazimisha pasi za kwenda mbele

Owen hagrevas alisema ni zamu ya pirlo wa manchester/carrick kucheza na Pogba

Ukiangalia leo Chelsea amechezesha viungo wawili wakabaji wa asili kabisa/Kante na Matic

Pogba kapata kazi sana kwani ilibd afuate mipira nyuma na kuipeleka mbele.

Inabid tusajili namba mbili wa asili Valencia anazidiwa japo anajitaidi

Bado mapema tumpe muda kocha
Lazima january asajili hakuna namna pale
 
Ah wapi iliharibika jana kwa Arsenal.... hongereni Man U kwa kutoweka Bus leo, Soon mtasema [HASHTAG]#WewantMoyesBack[/HASHTAG]!

Hahahaha kumbe wewe una hela za mchezo mchezo.... kabisa unaweka hela kwa Arsenal lol

Moyes Back? wewe mfuasi wa Brendan Rodgers unafurahisha sana

Next Game against Noisy Neighbours angalia kitakachowatokea
 
cad75d18545ec36bf10b570d29782a3b.jpg
ushindi leo ni wa lazima,tupunguze gap la points

ha ha ha haaaaaa
 
Hahahaha kumbe wewe una hela za mchezo mchezo.... kabisa unaweka hela kwa Arsenal lol

Moyes Back? wewe mfuasi wa Brendan Rodgers unafurahisha sana

Next Game against Noisy Neighbours angalia kitakachowatokea

Lol inaelekea jamaa alibet banda Zima la kuku na zizi la ng'ombe kuwa Arsenal, Man city na Manchester united wote watafungwa.
 
ITAKUWA SI BUSARA PASIPO KUSEMA

Pigaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Mbwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

1477245149303.jpg



1477245216278.jpg
 
Chris Smalling and John Stones ni mabeki wa Uingereza na leo wamecheza mpira ambao unatia shaka juu ya uwezo wao kama mabeki.

John Stones akajikuta anampasia mshambuliaji wa Southampton ambae alifunga bila shida.

Baadae jioni beki mwingine Chris Smalling nae akafanya uzembe na Pedro akaifungia Xhelsea goli la kwanza.

Chris Smalling ni big signing kwa Man Utd nilikuwa namfananisha na Rio Ferdinand kwenye nafasi yake ya kucheza kama mkoba.

Man Utd ina kazi ngumu ya kurudi kuja kuwa timu iliyopata kutawala ligi miaka minne ilopita.
Hao ni mabeki wanaotumia nguvu sio akili
 
Upo uwezekano Wa Kuwa Man United Msimu huu Haitoifunga Timu Kubwa Yeyote..!

Na Huu Ndiyo Ukweli! Man U inapocheza Na Timu Kubwa inakuwa na Options Mbili tu:-

1) Draw or 2) Lose

Hii ni Kutokana Na Mfumo na Uwezo Wa Timu! Haina Option ya Tatu ambayo ni Kushinda...

Draw:
Haya ni Matokeo Pekee Ambayo Yanamueka Mourinho Sala Pale Anapokutana na Timu Kubwa! Ni Hule Mgumo Wake Wa BUS-PARKING STYLE kama Aliochezesha Timu Yake Siku Alipocheza na Liverpool,,, Hulazimika Kueka Wachezaji 10 nyuma na Kusimamisha Mshambuliaji Mmoja pekee Jambo Ambalo Linamfanya Asiweze Kushinda wala asiweze Kufungwa bali Atoke Sare.

Kufungwa:
Hii ni Option Ya Pili Ambayo inamlazimu Mourinho Kuikabili! Ni Pale Anapoamua Kuachana na Mfumo Wake Wa Kupaki Basi na Kucheza Mfumo Wa Kushambulia!! Na Mfumo Huu Aliutumia Katika Mechi ya Man City na ya leo Ya Chelsea! Kwenye Mechi Mechi Hizi Mbili Kubwa Hakupaki Basi bali alijifanya Kucheza Mpira Ndiyo Maana Kaishia Kupoteza Mechi.

Kwahiyo Bila Bus Parking Mourinho Hana Ufundi Mwengine Wowote Katika Soccer.

Na Mfumo Wa Kupaki Basi Ndiyo uliomfukuzisha Real Madrid pamoja Na Chelsea (2nd time) Kwani Wachezaji Kama CR (Madrid) na Harzad (Chelsea) Walitaka Wawe Huru Katika Kucheza Mpira Na Kuonesha Uwezo Wao! Lakini Mfumo Wa Kupaki Basi Unawanyima Fursa Ya Kuonesha Uwezo Wao Kama Wachezaji Jambo Ambalo Kwa Wirld Class Player (CR & Harzad) Hawezi Kulikubali kufichwa Uwezo Wake ndomana Mou akaondoka.

Sasa Ndomana Pogba Akawa Haonekani Uwanjani Kwasababu Ya Mfumo Wa Kupaki Basi anakuwa Hana Msaidizi Koz Midfielders Zote Zinakuwa Zipo Chini Zinakaba! Na Mpira sio One man soldier bali ni Ushirikiano!!!
Kwahiyo Mourinho Anauficha Uwezo Wa Pogba Kwa Mfumo Wake Mbovu.....
Pogba ni lulu Mchangani Bali Mou Ndiye Anayembana Kiuchezaji Kwa Kuto Kuwapa Huru Wa Kucheza Mpira na Kuishia Kulinda linda tu.
 
He's 34/35 not a good idea to play him for 90 minutes let alone 9 league games straight. Mourinho is a dumb one.
Kipindi tuko na Larsson Fergie alimtumia vizuri sana lakini Mourinho kumfanya Ibra striker tegemezi si sawa. Mtu ana 35yrs kucheza 90minutes as lone striker sio kazi ndogo.

Leo alikuwa anakabwa na three chelsea centre backs atafanya nini? Ingawa three goals leo zilikiwa individual school boy mistakes bado namlaumu Mourinho na upangaji wake wa timu.

Game na man city alikosea kupanga timu tukapoteza first half, hii ya leo tena kakosea kupanga timu tumepoteza ndani ya 20minutes!

Fellaini anauwa chemistry ya game, anapoteza mipira mchango wake ni mdogo kuliko gharama. Lindgard ni mchezaji mzuri, ila si mzuri kiasi cha kumuweka Martial nje.

Ila Mourinho lazima aanze na Fellaini then tukishajichimbia kaburi ndio anabadili timu tujifukue kaburini!

Kipigo cha leo kimeniuma sana, Chelsea sio wazuri tumewapa sifa za bure tu, nashukuru kabla ya mechi nilikula chakula maanake hali niliyonayo sijui kama ningeweza kula leo.

Anyway jumatano tuna game vs man city hapo ndio Mourinho atuoneshe yeye ni nani maanake nishaanza kum doubt sasa hivi.
 
Back
Top Bottom