Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1477245630632.jpg
 
Shikamoo Man Utd

Arsenal Special Thread
Game Theory, Nov 22, 2006 ... 2522 2523 2524

Manchester United (Red Devils) Special Thread
Idimi, Nov 7, 2007 ... 2638 2639 2640

Kuna watu watafanya kama hawajaelewa

Thread ya Arsenal ilianzishwa 2006 , mpaka sasa ina page 2524

Thread ya Man Utd ilianzishwa 2007 , mpaka sasa ina page 2640

Kwa mara nyingine nasema shikamoo Man Utd

[HASHTAG]#BilaManUtdJamiiforumsHainogi[/HASHTAG]

kuwa na page nyingi haimaanishi kuwa nyie ndio bora humu!inaonyesha ni kiasi gani mnachukiwa...50% of those pages zinatoka kwa wapinzani wenu.
 
Shikamoo Man Utd

Arsenal Special Thread
Game Theory, Nov 22, 2006 ... 2522 2523 2524

Manchester United (Red Devils) Special Thread
Idimi, Nov 7, 2007 ... 2638 2639 2640

Kuna watu watafanya kama hawajaelewa

Thread ya Arsenal ilianzishwa 2006 , mpaka sasa ina page 2524

Thread ya Man Utd ilianzishwa 2007 , mpaka sasa ina page 2640

Kwa mara nyingine nasema shikamoo Man Utd

[HASHTAG]#BilaManUtdJamiiforumsHainogi[/HASHTAG]
Duh
Kweli kipigo kimekuchangananya sana aiseee.
Umefikia stage ya kujifariji kwa wingi wa posts?
Haya tuletee na idadi ya viewers sasa...
Japo uzidi kufarijika.
 
Kwanini mmekosesha kijana wa watu hela, atazidi kuwachukieni lol

RayJr {Unamkumbuka?] atakuwa na furaha sana leo

Huyu jamaa sijui yupo vipi leo.... Ubaya kule nime baniwa siwezi kuona posts za Chelsea fans around the world.
 
Kwanini mmekosesha kijana wa watu hela, atazidi kuwachukieni lol

RayJr {Unamkumbuka?] atakuwa na furaha sana leo
duh umenikumbusha huyo mtu tehteh leo Mama Baggio sijui vipi? au sio United? sister etu.
 
yule ni Yuda wala hawezi umia
ooops afadhali umefika kutoa pole!

taratibu za mazishi zinaendeleaje mkuu??

Daftari la rambirambi nani analo??

nitupie hafa 100 tu ya kinafiq
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom