Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chelsea washakubali , bado napinga ununuzi wa Torres. Mzee Peasant atapinga kama wamekula hasara lakini naelewa, ni kawaida mtu kukataa ukweli.

Huyu Torres kachukuliwa kuokoa mambo kipindi hiki, sasa matunda yake yasipoonekana hio ni hasara.
 
Hii michelsea nayo imezeeka mno...! Anelka kashindwa kumteleza van de sar, was very best chance!
 
Hiki kitoto kinapenda sifa nacho. Kutwa kiko mbele ya goli kusubiri kuunganisha kana kera sema ndio u-striker makini huo.
pokea hiyo mkuu najua wacha hapendi kabisa
The Following User Says Thank You to Arsene Wenger For This Useful Post:
samora10 (Today)
 
Chelsea washakubali , bado napinga ununuzi wa Torres. Mzee Peasant atapinga kama wamekula hasara lakini naelewa, ni kawaida mtu kukataa ukweli.

Huyu Torres kachukuliwa kuokoa mambo kipindi hiki, sasa matunda yake yasipoonekana hio ni hasara.

Naskia yuko fiti sana mazoezini... lolz
 
<p>
<b><font size="4"><font color="darkred">Mbona unaanza woga mapema, nasubiri mguu wa Wine Romney, Nani, Vidic, Ferdinand na Hernandes ivunjike khe khe khe kheeeeeeeeeee</font></font></b></p>
<p>
</p>
<p>&nbsp;</p>

Kuwa na nidhamu kijana, bisha hodi kwanza, salimia afu eleza shida yako.
Sema Anko Wacha Moja! leo unashangilia timu gani?
 
Back
Top Bottom