BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Hawa Chelsea nao wanaanza kuwa kama Arsenal......:bored::bored:
Wana timu nzuri sana hawa lakini upangaji wao ndiyo dhaifu. Sioni sababu yoyote ya Drogba, Malouda, Anelka na Kalou kutoanza pamoja maana ni tishio kwa ngome ya timu yoyote ile duniani.