ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,428
- 24,145
Ila pogba walimkamia hakuna mfano mamaeee wangemuachia kidogo tuMambo niliyojifunza Mechi ya Leo
Ander Herrera ni fundi sana hasa ukimpa nafasi na ukamuamini.
De Gea bado hana mfano wake katika EPL. Anapolazimika kuibeba timu mara nyingi hufanya hivyo.
Daley Blind ni mzuri sana akicheza full back ya kushoto.
United inahitaji mbinu mbadala kwenye ushambuliaji hasa linapokuja suala la mechi kubwa. Rejea mechi ya City.
Toni Valencia ni shujaa asiyeimbwa. Hazungumzwi kama wanavyozungumzwa akina Zlatan, Pogba na wengineo. Anapiga kazi yake kimya kimya.
GGMU. United We Stand.
muda huu wanalia
