Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nov 19 Mourinho ataanza kufungasha virago.

bahat mbaya wazo lako wakurugenz wa red devils hawapitii jamii forum lingefanya kaz kama unge drop mail direct kwao utabir wako ungefanikiwa wenzio watabir waliotangulia walikuwa na matokeo yao mifukoni wangefungwa walah vit vingekwisha pale
 
Mlisema hamjawahi kuacha kupata 3 Pts kwa Liverpool ghafla watu wanashangilia draw wanasahau walikomaa umu kua hata ****** Moyes na Van Gaal walipata matokeo chanya siamini leo Jose anapewa sifa kapata draw kweli maisha bila unafiki hayaendi.....top 4 tunaisaka kwa tochi ila tutafika mbona ligi mbichi hii next w'end Rent Boys wasihanye wapate tu draw tuone hesabu zitakavyo kaa.
Sio kuacha point 3 tumewahi kufungwa kabisa na Liverpool na leo pia kabla ya mechi walikuwa wameshashinda
Jose/Klopp wanaweza big match huwezi fananisha na Mr Bean.Kwetu kutokufungwa ndio ilikuwa target
 
Mlisema hamjawahi kuacha kupata 3 Pts kwa Liverpool ghafla watu wanashangilia draw wanasahau walikomaa umu kua hata ****** Moyes na Van Gaal walipata matokeo chanya siamini leo Jose anapewa sifa kapata draw kweli maisha bila unafiki hayaendi.....top 4 tunaisaka kwa tochi ila tutafika mbona ligi mbichi hii next w'end Rent Boys wasihanye wapate tu draw tuone hesabu zitakavyo kaa.
Ndugu yangu kwa kugeuza maneno hujambo? Wewe si uliwapa Majogoo ushindi kwamba yatatuchapa kama yalivyokuchapa,sisi tukakwambia huyu Mteja wetu havunji uteja,sasa huoni tumetimiza customer care yetu Mteja wetu tunaye bado next time tutampatia service nzuri kidogo mambo ya kiuchumi hayakukaa vizuri....... nasubiri bado point zangu kwako
 
Mlisema hamjawahi kuacha kupata 3 Pts kwa Liverpool ghafla watu wanashangilia draw wanasahau walikomaa umu kua hata ****** Moyes na Van Gaal walipata matokeo chanya siamini leo Jose anapewa sifa kapata draw kweli maisha bila unafiki hayaendi.....top 4 tunaisaka kwa tochi ila tutafika mbona ligi mbichi hii next w'end Rent Boys wasihanye wapate tu draw tuone hesabu zitakavyo kaa.
Moyes alifungwa game zote na Liverpool usiku mwema.
 
4d7c7a64bbc13c471f0cf85575250ea5.jpg
jogoo kachoropoka.

hahahaha mkuu kweli ile ni hom ground pia mana kat felain pemben young halaf mane anakosa mbio ambao ni msingi wake katucholopoka huyo tushazoea kuchukua point 3 pale
 
Zlatani hafanyi lolote mkuu. Anachofanya sasa hivi ni ku-knock around pass zisizokuwa na macho. Cha ajabu Mourinho bado anamchezesha dakika zote 90.
Huwa unaangalia game za United au unasimuliwa na mashabiki wa Arsenal/Liverpool ?
 
Mlisema hamjawahi kuacha kupata 3 Pts kwa Liverpool ghafla watu wanashangilia draw wanasahau walikomaa umu kua hata ****** Moyes na Van Gaal walipata matokeo chanya siamini leo Jose anapewa sifa kapata draw kweli maisha bila unafiki hayaendi.....top 4 tunaisaka kwa tochi ila tutafika mbona ligi mbichi hii next w'end Rent Boys wasihanye wapate tu draw tuone hesabu zitakavyo kaa.
Huko kwako vp hakuna flop of the match??
sturridge
frimino
henderson
wengine watakuja kumalizia
 
Mane a.K.a maneno msingi mbio mtaji wake apeleke kwa wakina debuch,chambers na monreal huko huku skils tu mbio kwa bolt
 
Hakuna waliokereka na sisi kuondoka na point juanfield kama wajukuu wa mr bean, walitegemea na sisi tupewe nne kama wao, ghafla wamebadili gia wameanza kuizungumzia game ya chelshit.
Yaani acha tu Leo Mimi nacheka hapa kama mwehu yaani zaidi Jogoo ndo kanifurahisha anasema Wewe Leo Furahi next week utalia,sasa najiuliza nao wameamua kukubali jirani awasaidie kutuliza football raha sanaaaaaa.....m
 
Back
Top Bottom