Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tujikumbushe ktk history manchester united ndo timu iliyochukua point nyingi pale anfield ktk timu zote zinazoshiriki lig kuu ya uingereza.
 
kusema kweli ibra anatakiwa kutafutiwa namna nyingine ya kucheza game kama hizi,mipira yote anayopelekewa inapotea kirahisi sana,
 
Pamoja na kusajili hao akina pogba ibrahmovic kwa mbwembwe bado timu mbovu.cjui aje nani sasa.ha haa
 
kusema kweli ibra anatakiwa kutafutiwa namna nyingine ya kucheza game kama hizi,mipira yote anayopelekewa inapotea kirahisi sana,


ibra anazidiwa hata na rashford dogo angecheza kat angekuwa na madhara sana katuzamisha game tatu ibra hasa ya stoke roho yaniuma sana anamfanya pogba kuwa chiz kamtengenezea mipira mingi sana game za nyuma.
 
Man of the Match:Ander Herrera
Flop of the Match😛aul Pogba
belo ni kweli kabisa. hii bei ya pogba inatupatia tabu sana utd,liverpool wanacheza kuhakikisha hagusi mpira akiwa comfortable kabisa. hiyo free role angepewa mata walau dakika 15 za mwisho kuliko hata rooney.
 
everlenk DonDonald na Nzi na Belo leo wanashangilia Draw! (mmeshinda) mtaitizama Game kila saa hongereni.
Kwenye thread yenu mlikuwa mnaapa kabisa "kuwa kwa moto huu wa liverpool utd hachomoki"

Naona sasa mnazungumza maneno tofauti

Mlifikili mnacheza na Norwich?
 
Mambo niliyojifunza Mechi ya Leo

Ander Herrera ni fundi sana hasa ukimpa nafasi na ukamuamini.

De Gea bado hana mfano wake katika EPL. Anapolazimika kuibeba timu mara nyingi hufanya hivyo.

Daley Blind ni mzuri sana akicheza full back ya kushoto.

United inahitaji mbinu mbadala kwenye ushambuliaji hasa linapokuja suala la mechi kubwa. Rejea mechi ya City.

Toni Valencia ni shujaa asiyeimbwa. Hazungumzwi kama wanavyozungumzwa akina Zlatan, Pogba na wengineo. Anapiga kazi yake kimya kimya.

GGMU. United We Stand.
 
Dogo aliwaficha kina Mane. Deservedly. Kwa Flop (Man Utd) nadhani itabidi umwengeze Zlatani pia. Cha ajabu sisikii Zlatani akishambuliwa na wapenzi wenu kama wanavyofanya kwa Rooney. Besides magoli aliyofunga mwanzoni mwanzoni Zlatani amepotea kama mechi 4 hivi.
Lini Zlatan alichemka ?
Angalia anavyomiliki mpira,pasi anazotoa na work rate ukizingatia ana miaka 34
 
Back
Top Bottom