Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lol! Goli lilikuwepo banaa mwenyewe unajua hivyo na ndiyo sababu hukutulia ulipokuwa umekaa ukijua mnapachikwa kamoja kabla ya dakika 90 kuexpire. Mshukuru Mungu mmeponea chupu chupu, kwenu huu ni ushindi wa aina yake. Bado MANU hii si ile niliyoipenda kuiangalia miaka ya nyuma mpaka unaona raha.

Sheikh rudisha chenji ya Utabiri khe knee kheeeeee yaani mabig game sometime yanaboaaaa!!!!...... thank God Leo imepita heri nusu Shari kuliko Shari Kamili....
 
Nimepata nilichotaka. Draw sio mbaya kwetu. Ila mngefungwa ingekuwa vizuri kiaina kumnyamazisha Mourinho. Hawa Liverpool bado wapo kama walivyokuwa miaka ya nyuma, kuna mechi wanacheza vizuri, halafu mechi zifuatazo wanakuwa kama Abajalo.
We jamaa yani una jezi ya liver ndani halafu kwa nje una ya Man U
 
Tatizo Hawa Reds wenzangu waliingia uwanjani wana matokeo kama wale Reds wenzangu wa Tanzania tungewapiga mngeng'oa JF......... Neville kama Namuona na utabiri wake
Msingeweza kutufunga!..
 
Kwa Mfumo wa Liverpool Leo man utd they won kwa tactical game.....huitaj kukimbia wakat opponents wako wana watu weng wa kukimbia....
Man utd kalazmisha mipira ya juu na Liverpool akaingia mtegon
 
Man of the Match:Ander Herrera
Flop of the Match😛aul Pogba

Dogo aliwaficha kina Mane. Deservedly. Kwa Flop (Man Utd) nadhani itabidi umwengeze Zlatani pia. Cha ajabu sisikii Zlatani akishambuliwa na wapenzi wenu kama wanavyofanya kwa Rooney. Besides magoli aliyofunga mwanzoni mwanzoni Zlatani amepotea kama mechi 4 hivi.
 
Lol! Goli lilikuwepo banaa mwenyewe unajua hivyo na ndiyo sababu hukutulia ulipokuwa umekaa ukijua mnapachikwa kamoja kabla ya dakika 90 kuexpire. Mshukuru Mungu mmeponea chupu chupu, kwenu huu ni ushindi wa aina yake. Bado MANU hii si ile niliyoipenda kuiangalia miaka ya nyuma mpaka unaona raha.
Hahahhaha hao hamna kitu tungekaza kidogo tu tungechafua Anfield,dahh !! Acha tu siku hizi ile raha hamna ila ngoja tuyajenge tutakam bak....
 
Kwa Mfumo wa Liverpool Leo man utd they won kwa tactical game.....huitaj kukimbia wakat opponents wako wana watu weng wa kukimbia....
Man utd kalazmisha mipira ya juu na Liverpool akaingia mtegon

liver bado sana kwa man u kapangiwa timu ya hovyo kashindwa kufunga hata goli la off side
 
Back
Top Bottom