Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mwenyekiti FA
POBOX 011
Manchester

YAH: KUOMBA MECHI YA KUJIPIMA NGUVU NA MAN UTD
Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu. Sisi MBAGALA MARKET FC kupitia uongozi wetu..tunaomba mechi iliyo rasmi na MAN UNITED ya nchini Uingereza kwani tunaona tunaendana kiuwezo na pia ni kipimo chetu kizuri tu. Tunatanguliza samahani zetu za dhati kwani tunajua ya kwamba wapo kwenye ligi hata sisi tunajiandaa na ligi pia...ila basi tunaomba hata katikati tu ya wiki tukipige..Kuhusu malazi na usafiri vyote tutawalipia na saloon zipo kwaajili ya pogba.

ASANTENI

Wako katika michezo

Mwenyekiti wa mbagala market
 
He lacks pace
Ushamuona game yoyote alipata opening na akachanja mbuga?
Braza sijui unamwongelea Rashford yupi? He lacks pace? Nitajie hicho unachokunywa ama kuvuta nami nikitumie siku nyingine.

Ebu angalia huyo unayemsema "he lacks pace.."



Angalia goli dhidi ya Man Shitty na dhidi ya U-21 ya Norway.

Pace is one of his playing attributes. Jaribu kumwangalia kwa jicho lisilo la kinazi bruh!
 
timu zote 20 bado zina nafasi ya kuwa bingwA ndug hakuna cha kushangaa ndo kwanza mechi ya 5 bado 33 .asume timu ikishinda hzo mechi zote si ameshakuwA bingwA
Na wewe unategemea hii Man. United ya Mou, Rooney na Pogba ndio itashinda mechi 33?
Ndoto zingine hupaswi kuamka, ndoto tamu aisee.
 
Ijumaa iliyopitta nlikuwa naangalia game match ya Chelsea vs liver pool man they have a fighting spirit wanavyo press kuna combination moja hatari sana na wanamid field ya kawaida sana Henderson Lucas na wengine najiuliza passion ya wachezaji was man utd imekwenda wapi mini man utd forever ila mi ninachoona
Wayne Rooney amekuwa flop nafikiri nimuda sasa was kufanya Yale fergie aliyokuwa akiya fanya kwa kina Luis nani na at a Rooney na kitu kingine n Jose inaonekana bado haja pats first eleven ukiangalia three match before mata play na zote tumewin lakin since amekuwa na without mTa we lost all game pia naonaa kwa midfield ya fella in na pesa ya madaf badoo na pia kitu kingine mou inabidi akubali kucheza Mpira kuliko defending all the time
 
Morinho sio kocha mm nilikuwa napata waswas na ujio wake ni swala la muda tuu diego simeone atachukua nafasi hiyo mm nashangaa kwanin man utd hawakumchukua pep sasa ngo washuke daraja
 
Morinho sio kocha mm nilikuwa napata waswas na ujio wake ni swala la muda tuu diego simeone atachukua nafasi hiyo mm nashangaa kwanin man utd hawakumchukua pep sasa ngo washuke daraja
Diego simeon man united bruahahahahahahahah
 
Mtanyooka tu mwaka huu!..bado Liverpool inawangoja tuwatafune ninyi man fongo.
 
Mtanyooka tu mwaka huu!..bado Liverpool inawangoja tuwatafune ninyi man fongo.


Huyu mgeni wa mpira liverpool kala mbili bila kwa bunley kaenda kushinda kwa chelsea wakat chelsea kampiga bunley tatu bila usiishi kwa kukalili na huyo liver wako
 
LAWAMA ZA MOURONHO.jpg


Huyu Bwege Kwa Lawama
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Michepuko wa United wamejaa kibao kuja kuomboloeza msiba wa mfadhili wao. Msijali we will soon be back to the winning way.
 
Back
Top Bottom