Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

NAANGALIA MAPUNGUFU YETU HAPA KATIKA GAME YA MAN CITY KUPITIA DSTV INAONEKANA KWAMBA TATIZO NI PAUL POGBA.. ALIKUWA ANAPANDA SANA KIASI KWAMBA KATIKAT PANABAKI WAZI NA KUMFANYA KELVIN DE BRUYNE KUTAMBA MNO... MTU KAMA CARRICK ANAHITAJIKA PALE KATI KUMFANYA POGBA AWE HURU ZAIDI... MAANA BILA HIVYO TUKIKUTANA NA TEAM KUBWA TUTAUMIA SANA...
 
Wings ziko poa, in short ni kikosi cha kushambulia lakin wasi wasi wangu hakuna mpiga basi kwenye hicho kikosi, ningependa sana kumuona either carrick au blind wacheze kama DM, all in all kikosi ni kizuri ngoja tuone
Labda mukulu wetu kaja na strategy mpya. N ngoja tuone, kikiisha kioindi cha kwanza kuna picha tutakua tumeipata
 
NAANGALIA MAPUNGUFU YETU HAPA KATIKA GAME YA MAN CITY KUPITIA DSTV INAONEKANA KWAMBA TATIZO NI PAUL POGBA.. ALIKUWA ANAPANDA SANA KIASI KWAMBA KATIKAT PANABAKI WAZI NA KUMFANYA KELVIN DE BRUYNE KUTAMBA MNO... MTU KAMA CARRICK ANAHITAJIKA PALE KATI KUMFANYA POGBA AWE HURU ZAIDI... MAANA BILA HIVYO TUKIKUTANA NA TEAM KUBWA TUTAUMIA SANA...

Ni kweli Pep alimzidi Jose tactics,Jose alitegemea winger lakini Miki &Lingard walichemsha sana kuna haja kwenye big mechi apange 4-3-3
 
Poa pia ndugu. Mi nipo kimara hapa najisogeza kwenye banda letu linaitwa ManFree, lina chemba zinanuka ile mbayaaaa sema ndo lina ushabiki mkubwa ile mbayaaaa
Hahaa.... Tatizo jf hatujuani, mm pia mwenyeji sana wa kimara ila naangaliaga mwa mwarabu.
 
Nimepita kuwasalimia wadau

1474195226700.jpg
 
Kama kawaida nipo kimara manfree hapa nasubiri kuona tunavyomwaga damu ya mtu. . leo lazima watford walilipe jero langu
 
Back
Top Bottom