radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Nilisikia umesema aliacha first eleven nje
kumbe unapenda vya kusikia eeee
Nilisikia umesema aliacha first eleven nje
Barca ni man u![]()
Dozi taratibu inawaingia
It's Okey Man United ............... Dhahabu lazima ipite kwenye moto .......... Maisha bado yanaendelea na hayana budi kuendelea ,let's move forward, Stand up United !!! We will make it!!!!..... GLORY GLORY MANCHESTER UNITED.

nilikuja na jamvi jana nimelia sana hapa msibani ila sauti ya kike ilikua ya sister tu nikapata shaka kuhusu wapi ulipo naomba nikupe pole lundo swahiba.Mnatia hiruma masikinihuyu mtu anawauma sana roho mnaujua ubora wake sikia maneno ya watu wa soka lazima mhamie huku unategemea xhaka anavyo kama hivyo scholes kaviongea?
Scholes: "If he plays 1-2 touch, sticks the ball into Zlatan & runs, nobody can live with that. He's got so much pace & power."








Mnatia hiruma masikini![]()
Ukiwatizama kwa jicho la tatu wala hawawezi kukupa tabu.Si kuna ule usemi adui muombee njaa?
Sasa nashangaa ndani ya uzi wetu, maadui wanatuonea huruma!!!
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Kuwekeza kwa Moureen ni kosa kubwa Man U walifanya. Yule ni wa moto wa mabua, hayupo kwa long term na hana impact kwenye uwekezaji wa mda mrefu.
Soon tutasikia "Moureen Out"
Z̤̈ï̤m̤̈j̤̈ë̤n̤̈g̤̈ë̤ë̤ j̤̈ï̤n̤̈ä̤ m̤̈ä̤r̤̈ä̤ n̤̈g̤̈ä̤p̤̈ï̤ k̤̈ï̤ẗ̤ë̤n̤̈d̤̈ö̤ c̤̈ḧ̤ä̤ ẅ̤w ṳ̈l̤̈ï̤ÿ̤ë̤ k̤̈ï̤c̤̈ḧ̤ä̤k̤̈ä̤n̤̈ ḧ̤ṳ̈k̤̈ṳ̤̈̈ k̤̈ṳ̈m̤̈f̤̈ä̤ḧ̤ä̤m̤̈ m̤̈ö̤r̤̈ï̤n̤̈ÿ̤ö̤ ṳ̈j̤̈ṳ̈ë̤ë̤ ẗ̤ä̤ÿ̤ä̤r̤̈ï̤ ä̤l̤̈ï̤s̤̈ḧ̤ä̤ j̤̈ë̤n̤̈g̤̈ä̤ j̤̈ï̤n̤̈ä̤Ni swala la muda tuuu ubovu wa morinyo kuonekana zama zile za kupaki bas na kushtukiza zimekwisha kwani watu wameshajua udhaifu wake wanamdunda tuu. Morinyo anaweza akaamua mambo mawili ili kulinda heshima yake
1. Kustaafu soka na kuachana kabisa na mtindo wa kupaki basi.
2.kufundisha tym ndogo ambazo zitamjengea majina
Hull, Majogoo ya Malafyale, Watford, Everton, Tottenham.Aiseee !!! Wewe ndo umenifufua tena hapa Jukwaani pamoja na majanga yote tuliyoyapata,its okey...... Habari za siku mingi? Msimu huu Timu zako zipi au zile zile za last season?
Tatizo la morinyo ni kutupia lawama wachezaji.Ni swala la muda tuuu ubovu wa morinyo kuonekana zama zile za kupaki bas na kushtukiza zimekwisha kwani watu wameshajua udhaifu wake wanamdunda tuu. Morinyo anaweza akaamua mambo mawili ili kulinda heshima yake
1. Kustaafu soka na kuachana kabisa na mtindo wa kupaki basi.
2.kufundisha tym ndogo ambazo zitamjengea majina
Sasa yangu mimi yanahusu nini kiongozi, niliwahi kukuambia kuwa ni kocha? Usiniletee stress zako hapa!We nae.
Acha kutia aibu mkuu.
Ulitaka uje kufundisha wewe?
Ukweli unauma kaka we unafikiri hawajui kama moureen sio kocha wanajua sana sema kukubali ukweli ndio kinacho watesa hawa nduguSasa yangu mimi yanahusu nini kiongozi, niliwahi kukuambia kuwa ni kocha? Usiniletee stress zako hapa!
Sio kocha ni nani? United ni chama kubwa na respect na personality ya Mou imepanda juu kwa kuaminiwa tu kupewa United. Hata Guadiola pale City ni timu ya kitoto tu imechukua EPL mara moja tu, United imechukua mara ngapi? Asiye kocha anaweza pewa timu yenye history hiyo?Ukweli unauma kaka we unafikiri hawajui kama moureen sio kocha wanajua sana sema kukubali ukweli ndio kinacho watesa hawa ndugu
Ni kweli ndio maana mlimpa moyesSio kocha ni nani? United ni chama kubwa na respect na personality ya Mou imepanda juu kwa kuaminiwa tu kupewa United. Hata Guadiola pale City ni timu ya kitoto tu imechukua EPL mara moja tu, United imechukua mara ngapi? Asiye kocha anaweza pewa timu yenye history hiyo?















Yes. History ya Moyes Everton unaijua? Nani aliyeipa mataji Chelsea na kuifanya iheshimike? Nani aliipa UEFA title Inter Milan? Nani aliaminiwa na kupewa club kubwa kama Real Madrid na kuifikisha semi final za UEFA? Hivi kuwacoach kina CR7, Ramos, Luke Modr, ni rahisi? Acha kabisa Mou sio viwango vya kina Wenger sijui wa top 4 kila msimu.Ni kweli ndio maana mlimpa moyes![]()
Sio kocha ni nani? United ni chama kubwa na respect na personality ya Mou imepanda juu kwa kuaminiwa tu kupewa United. Hata Guadiola pale City ni timu ya kitoto tu imechukua EPL mara moja tu, United imechukua mara ngapi? Asiye kocha anaweza pewa timu yenye history hiyo?
Talk about Mou. AC Milan and Ajax for what? How zina relate na Mou?