UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Kweli ndio maana moyes alitoka alikotoka na cv inayofanana na mou akaja manure hahahaYes. History ya Moyes Everton unaijua? Nani aliyeipa mataji Chelsea na kuifanya iheshimike? Nani aliipa UEFA title Inter Milan? Nani aliaminiwa na kupewa club kubwa kama Real Madrid na kuifikisha semi final za UEFA? Hivi kuwacoach kina CR7, Ramos, Luke Modr, ni rahisi? Acha kabisa Mou sio viwango vya kina Wenger sijui wa top 4 kila msimu.






