Kawaida ya mou kwanza mou mwenyewe keshakata tamaaMim nashangaa sana ila nadiriki kusema yote yanasababishwa na pesa aliyonunuliwa....
Ila Mou anamuamin mpaka kufa namim bado naamin pogba ni fundi hawawez nibadilisha kwa hili










Usitupangie maku wew nenda kwenye jukwaa lako waambie huo upuuzi wako











1We kwani ulikua unajua mou kochakwa game ya jana mtu mzoefu km swaztger alitakiwa awepo....jose smtmz anatuzingua mtu km bailly,pogba.matrial walitakiwa kupumzika wasubiri watford...then mensah,carrik,young,morgan walitakiwa wapate mda wa kutosha kucheza uropa ila jose ana misimamo yake tofaut then inatucost





Avata yako kalisasa km pogba na man u ni wabovu nyie ndio mnatakiwa mfurahi sio kuja ktk jukwa letu kulialia tuachieni man u yetu na pogba wetu mbovu nendeni ktk jukwa lenu lenye timu nzuri then siku mkitufunga nyie tutawakaribisha humu.man u amefungwa holland wew wa UK inakuhusu nini??? mnakuja kulialia hapa kumbe mnamuogopa pogba...








Kuwekeza kwa Moureen ni kosa kubwa Man U walifanya. Yule ni wa moto wa mabua, hayupo kwa long term na hana impact kwenye uwekezaji wa mda mrefu.
Soon tutasikia "Moureen Out"









Mimi Namuombea Dua Mou Aendelee Kubaki Man U Kwa Muda Mrefu ili Azidi Kunipa Furaha Mimi Hater wa Man U 😀 As long as Mou remain to be Your Manager the more happy I feel. 😀😀😀😀
I'm betting: After Xmass all Man U Fanboys will Admit that Mou is a short term happiness and they will protest that →→→ "Mou Must be fired"






na furaha inakaribia.![]()
Unapochoka kua saver lazima iokotwe kwenye net.
![]()
Misiba ikiongozana lazima ushike kichwa hakuna namna.
unaona aibu kutaja timu yako.
Aiseee !!! Wewe ndo umenifufua tena hapa Jukwaani pamoja na majanga yote tuliyoyapata,its okey...... Habari za siku mingi? Msimu huu Timu zako zipi au zile zile za last season?Nzi makazi yake ni jalalani.
Ntuzu bandugu umemfuata Mou kwa Everlenk?
Domokaya amenza kufyatua watoto wa kinywa(maneno kakasi) ,hana kawaida ya kukubali kwa heshima kwamba alizidiwa maujanja na mpinzani wake na kwamba mpinzani alistahiki kupata mapointi matatu yote.
Reality check kwa Mou imeanza mapema.
Naona litimu la bluuzii limeanza vizuri, au umehama kule umemfuata "Aliko, niko/ alipo, nipo?"
Link Man Utd 1-2 Man City: Referee made two big mistakes - Jose Mourinho
Link2. Man Utd 1-2 Man City: Jose Mourinho's poor run v Pep Guardiola continues
(Ma-title), mavichwa ya habari mengine yanaudhi, etiii!
Link3. Manchester derby: Man City put Man Utd in their place
Huu ustaarabu Domokaya bin Mpayukaji hauwezi kabisa.
Link Liverpool 4-1 Leicester: Claudio Ranieri admits Reds 'deserved to win'
Arsenalunaona aibu kutaja timu yako.
basi poa......tuombe uzima.Arsenal
na furaha inakaribia.



Moureen ananipa burudani hapa natia udhu kwa ajili ya Watford najua wanajua cha kufanya.Moureen ananipa burudani hapa natia udhu kwa ajili ya Watford najua wanajua cha kufanya.








