Jipe moyoMkuu ni uwekezaji tu kila timu inapiti kipind cha mpito hakuna timu iliyokuwa kali miaka yote jaribu kuangalia vilabu vikubwa baran ulaya madrid alikuwa choka mbaya lyon kamtesa sana bayern mwenyewe kujijenga lazima japo inachukua muda
Kwa sababu mlimpigia matarumbeta kama mungu mtu au unajisahaulisha sasa hiviHuwa najiuliza, mbona mzigo wa timu kufanya vibaya anatupiwa Pogba?
Kwenye mechi ya United na City waliofanya vibaya ni wengi ila mzigo wote kwa pogba.











Mkuu ni uwekezaji tu kila timu inapiti kipind cha mpito hakuna timu iliyokuwa kali miaka yote jaribu kuangalia vilabu vikubwa baran ulaya madrid alikuwa choka mbaya lyon kamtesa sana bayern mwenyewe kujijenga lazima japo inachukua muda









Jipe moyo
Huwa najiuliza, mbona mzigo wa timu kufanya vibaya anatupiwa Pogba?
Kwenye mechi ya United na City waliofanya vibaya ni wengi ila mzigo wote kwa pogba.
hivi wew ni timu gani kwanza.Jipe moyo
kumpigia debe muhimu ni swala la muda tu........mambo yatakuwa poa.Kwa Sababu Ni Most Expensive Player Katika Timu Lenu! So, Mchango Wake Katika Timu Unapaswa Ulingane Na Thamani Yake Na Hasa Ukizangatia Kuwa Mulimpigia Debe Sana Kwenye Timu Yenu
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Mim nashangaa sana ila nadiriki kusema yote yanasababishwa na pesa aliyonunuliwa....Huwa najiuliza, mbona mzigo wa timu kufanya vibaya anatupiwa Pogba?
Kwenye mechi ya United na City waliofanya vibaya ni wengi ila mzigo wote kwa pogba.
Usitupangie maku wew nenda kwenye jukwaa lako waambie huo upuuzi wakoWhat a moment for the hosts! It’s great play from Jorgensen, who drives in behind United’s defence before sliding a ball back into the area, with Vilhena on hand to thump home with a low finish! Ha ha ha haaaaa mmeona eee..poleni sana,huyo pogba hawafai,bora mumnunue samatta kuliko pogoba...
Hata mityland walijisifu ivi ivi ila kilichowakuta O.T siku iyo walilala na viatu
Mtakuja machinjioni tu maana kwenye ratiba mpo
Kuwekeza kwa Moureen ni kosa kubwa Man U walifanya. Yule ni wa moto wa mabua, hayupo kwa long term na hana impact kwenye uwekezaji wa mda mrefu.Mkuu ni uwekezaji tu kila timu inapiti kipind cha mpito hakuna timu iliyokuwa kali miaka yote jaribu kuangalia vilabu vikubwa baran ulaya madrid alikuwa choka mbaya lyon kamtesa sana bayern mwenyewe kujijenga lazima japo inachukua muda
Kuwekeza kwa Moureen ni kosa kubwa Man U walifanya. Yule ni wa moto wa mabua, hayupo kwa long term na hana impact kwenye uwekezaji wa mda mrefu.
Soon tutasikia "Moureen Out"