Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Benteke na balotel walikuwa na juhud kinoma mkuu
Gain & lose Ya Benteke ni 50/50 →→ 32m/32m na Baloteli Alinunuliwa Kwa Hela ya Pipi na Kauzwa Kwa Hela Ya Pipi, So what is Your Point bro!
Benteke na balotel walikuwa na juhud kinoma mkuu
Moja inaweza kukataa pia si ulimuona ureno kuna watu walitoka kwenye makund na point 7 yy 3 tu kabeba ndoo
Gain & lose Ya Benteke ni 50/50 →→ 32m/32m na Baloteli Alinunuliwa Kwa Hela ya Pipi na Kauzwa Kwa Hela Ya Pipi, So what is Your Point bro!
mnanyoosha vidole tu
Tena tatu nyumbani...I have never been Maureen's fan...but as long as he is the Boss now, I got to support him...
Game imekataa tu leo braza...yaani nawe unakuwa kama mgeni wa mpira?!? Sioni what's the fuss. Yes, United imefungwa, lakini bado tuna games 5 kwenye kundi...
Kumbe Hamjaacha Tabia Yenu Ya Kuishi Kwa Kutegemea Historia? 😀😀😀😀😀
Psv ndo alikua bingwa mkuuMabingwa wa uholanzi msimu uliopita unawajua
Bingwa ni psv mkuuBora hata man kapgwa na bingwa wa uholanz sasa mkuu wewe unalipuliwa na bunley from championship
Shukran mtani wacha tuugulie maumivu ila sio mbaya ndo mpira huoPoleni sana watani
Shukran mtani wacha tuugulie maumivu ila sio mbaya ndo mpira huo
Kweli kila zama na kitabu chake, naangalia mpira lakin nabaki kujiuliza naiangalia Man U au Man fongo
Jeuri dawa yake ni kiburiTumia mobdro mkuu, au mobikora ila game mbovu balaa