Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

POGBA alinunuliwa kwa dollar ngapi vile? $110M kadhaa au zilikuwa ngapi? Mechi 4 alizocheza ameprove ana thamani ya pesa zilizotumika, Long may it continue hahahahaha
Acha hizo si tulikuwa tunataka mauzo ya jezi kiwango kisikupe shida kwanza bado kinda ujue Ila tuombeeni hahahaa
 
I'm very very very very happy to see Manyumbu United Have been Kicked their damn asses 😀😀😀😀😀😀😀
 
Game iligoma leo....put your heads up [HASHTAG]#RedDevils[/HASHTAG]....Watford here we the [HASHTAG]#RedArmy[/HASHTAG] comes...
 
Nzi unamuona kocha wako mbabaishaji? LOL.
I have never been Maureen's fan...but as long as he is the Boss now, I got to support him...

Game imekataa tu leo braza...yaani nawe unakuwa kama mgeni wa mpira?!? Sioni what's the fuss. Yes, United imefungwa, lakini bado tuna games 5 kwenye kundi...
 
Screenshot_2016-09-15-21-55-15.png
 
I have never been Maureen's fan...but as long as he is the Boss now, I got to support him...

Game imekataa tu leo braza...yaani nawe unakuwa kama mgeni wa mpira?!? Sioni what's the fuss. Yes, United imefungwa, lakini bado tuna games 5 kwenye kundi...
Mwanzo Wa Hesabu Ni 1, Kumbuka Kabla Ya Kufikia Hizo 5 ni lazima Uanze na 1
 
I have never been Maureen's fan...but as long as he is the Boss now, I got to support him...

Game imekataa tu leo braza...yaani nawe unakuwa kama mgeni wa mpira?!? Sioni what's the fuss. Yes, United imefungwa, lakini bado tuna games 5 kwenye kundi...

Good to be loyal. LOL Sometimes I like to troll and sh!t on this forum kila mnapocheza vibaya
 
nilisema mourinho sio kocha,bora timu angepewa Giggs kuliko mou,tazama kocha kama Diego simione
 
f5992b4411aab6d4904f3f29206047c8.jpg

Bar-maid hakatai bia wewe mpe yoyote tu mamamaeeeee hii inatwa kifinyo back to back na yule muuza jezi naona alikua anazurura tu kama kishada.
 
Back
Top Bottom