Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,123
Wakuu naomba kama kuna link ya hii game in progress nipeni..
Tumia mobdro mkuu, au mobikora ila game mbovu balaaWakuu naomba kama kuna link ya hii game in progress nipeni..
leo Pogba mtamuelewa kwa nafasi anayocheza lazima atupie tu au atengenea goli
Thnx mkuuTumia mobdro mkuu, au mobikora ila game mbovu balaa
Kwel kabisa. Mech ina boa hadi kero. Ngoja tuone mabadiliko yatakayofanywa.Tumia mobdro mkuu, au mobikora ila game mbovu balaa
Ipo chanell gan .. Mina nishaitafuta sana ndug.. Nipo mobdroTime for the second half
Lets do it united
Ni bure huyu. Hata siamini. Bora niwekwe nafasi yake mimiKuna haja ya kudai ushahid wa kibenk ili kuona kama kweli pogba alinunuliwa kwa hela ile mm binafs naona wazungu wanatudanganya aise
Tofautisha Ulaya na BongoNi bure huyu. Hata siamini. Bora niwekwe nafasi yake mimi
Kuuza jez haikua kazi yake msitafute kichaka jamani huyu jamaa ni kilazaTofautisha Ulaya na Bongo
Ulaya unanunua mchezaji mwenye jina unapiga pesa kupitia mauzo ya jezi
Naona mmeshupalia bei aliyonunuliwa wkt tayari Man Utd imeingiza faida...........Mmihukumu yy km yy siyo kuhisu pesa aliyonunuliwa
Nimeongelea kuhusu kumuandama kwa bei aliyonunuliwaKuuza jez haikua kazi yake msitafute kichaka jamani huyu jamaa ni ******
Dah mambo gani haya sasa
Dada wa Uholanzi leo lazima achome nyama backyard lolMpira mnaocheza leo ni hatari. Mmewakalia kooni hawa gozigozi wa Holland. Lazima muwafunge magoli mengi 1-0.