xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
Haa haa niliona mechi yenu jana shekh, kweli mpira bahati![]()
![]()
Tunakumbushana tu kwa picha.
Haa haa niliona mechi yenu jana shekh, kweli mpira bahati![]()
![]()
Tunakumbushana tu kwa picha.
Una personal beef na Jose Mourinho sidhani kama ulikuwa unamsikiliza SAF baada ya mechiIle issue ilidiliwa in the dressing room ikabaki in dressing room. Ni rumors zilizotoka, si Beckham or SAF alishasema hivyo mbele ya Press.Sisemi kwamba havikutokea. Sijawahi kumsikia SAF anasema "wachezaji wameni-disappoint, let me down" Makocha wana take accountability timu zinaposhindwa na kusifia timu inaposhinda. Mourinho alivyosema ni tofauti kaweka 50% ya blame kwake, na zilizobaki kawatwisha wachezaji wake, kitu ambacho huwezi kuzisikia kwa makocha wakubwa kama Mourinho....
Mkuu sidhani kama kuna shabiki wa arsenal anaemkubali mourinho,Una personal beef na Jose Mourinho sidhani kama ulikuwa unamsikiliza SAF baada ya mechi
Sir Alex Ferguson slams referee as Manchester United lose to Chelsea
Sir Alex Ferguson blames Nani for Manchester United's cup exit to Chelsea
Sir Alex Ferguson blames players for FA Cup defeat
Fergie supports his youngsters
BBC SPORT | Football | FA Cup | We were denied penalty - Ferguson
BBC Sport - Football - Sir Alex Ferguson angry at referee after Man Utd defeat
Mkuu naona simu yako imeisha chajiAcha kudanganya watu shenzi wewe
![]()
Tunawafariji tu jeshi langu.kingwande cjui jana hakuwepo maana hutajizisikia £30 millAcha kudanganya watu shenzi wewe
![]()
Wanachukia kweli, watapita kama hawaoni hii habariManchester United became the first British football club to earn more than half a billion pounds in a single year after announcing Monday total revenue of £515.3 million ($683.5 million, 608.9 million euros) for the year ending June 30, 2016.
The Premier League giants also declared a record operating profit of £68.9 million.
United's continuing financial success, despite not winning the Premier League last season and failing to qualify for Europe's lucrative Champions League, allowed new manager Jose Mourinho to splash out a world record £89 million on signing midfielder Paul Pogba from Italian side Juventus during the recent transfer window.
Source: AFP Published: 12:00 12-09-2016
Wanachukia kweli, watapita kama hawaoni hii habari
Kesho mtacheza na timu gani UCL Koh koh koh?