Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leicester city si walinunua player kwa million 86miln au 50miln sio wanacheza uefa na wamechukua ligi sasa sijui hoja yako ni ipi Cc rubaman



Hata leeds alicheza eufa ila ndo hivyo


Ukikutana na habar kama hii mtu fa tu chek watu walivyojitupa


Kwa nn usipagawe


Katika mwaka huo timu hiyo ilishinda kombe la FA,ilisaini mikataba 14 ya wadhamini na biashara,mapato ya mechi,mapato ya Televisheni yameongezeka
 
Real Madrid midfielder James Rodriguez has requested a move to Manchester United, according to reports.
The Colombia international has fallen down the pecking order at the Spanish giants since the appointment of Zinedine Zidane in January.
He was overlooked for their Champions League final victory over fierce rivals Atletico Madrid in May and has featured sporadically so far this season.
Rodriguez had previously been a starter under previous bosses Carlo Ancelotti and Rafa Benitez.
The most popular

According to Spanish newspaper Diario Gol, Rodriguez has told agent Jorge Mendes he wants to move to United in order to work under Jose Mourinho.
Mendes also happens to be the agent of Mourinho, as well as United star David De Gea, and has previously negotiated with the Premier League side for the likes of Radamel Falcao, Nani and Anderson.
 
Back
Top Bottom