Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hujuma zao zao za kuikata makali MAN UTD zitagonga mwamba tu

Mwenyekiti wa FA ni Bernstein ambae aliwahi kuwa mwenyekiti na mjumbe wa board wa Manchester City... go figure!!

Hivi na huko haya mambo yapo? Inawezekana committee nzima FA ikakosa mjumbe hata mmoja ambaye hana mahusiano na timu yoyote ya ligi kuu?


article-1373748-0B7D314800000578-833_634x482.jpg


Washiriki wa kutoa bahasha wakijadiliana ... .....


Wacheni kulialia Romney deserves what he gets ....... ......... .... ...... kwanza aliponea chupu chupu alipompiga elbow yule mchezaji kwenye premier League then anatukana watu anavuna alichopanda khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
 
splash-rooney_1286612a.jpg



Mama mia khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Nasikia Wenger alimtuma Wine Romney kwenda kutoa matusi kwenye TV ....
 
Wacha1 acha hizo bwana, mbona unataka furaha za ushindi na wa kulipata kombe ipotee🙂)
Maure still hatushikiki!!

...Mrembo BJ, kesho nitakusaidia kupepea kibendera cha Manure bana.
kwa jinsi niwachukiavyo Chelsea, count my support mydear. Best wishes.
 
Wambieni FA wafungie first eleven yetu yte na still tunaibuka na treble this season. Asssholess tangu kipindi cha David Dein yuko FA walikuwa wamezoea kutuumiza na fixtures zao a lunchtime ila tukawa tunawaburuza hvohvo.
Tukutane darajani badae.
 
Ningependa formation iwe 4-5-1,Chicharito,Anderson na Valencia waingie sub kama mambo yakiwa magumu
Van de Sar
Rafael
Evra
Smalling
Vidic
Scholes
Carick
Fletcher
Nani
Park
Rooney
 

rooney_1285901a.jpg


BJ na wewe huachi kupotea njoo unywe vidonge vyako hapa. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Wacha1 karudi kibaruani khe khe kheeeeeeeeeeeee


Ha ha..hivyo vidonge unatupatia mpaka tunakoma!..yani katika 'critical time' kama hii halafu Rooney ndiyo hivyo tena..aah, in Sir Fergie we believe!!!
Tuandalie pongezi, mimi nitapenda na flower bouquets🙂)kidding
 
...Mrembo BJ, kesho nitakusaidia kupepea kibendera cha Manure bana.
kwa jinsi niwachukiavyo Chelsea, count my support mydear. Best wishes.

Aminia Mbu, thanx for backing us🙂) kumbe kuna kabond kati ya Gunners&Red Devils, this is good!!
Powa,stick around dea!!
 
Ningependa formation iwe 4-5-1,Chicharito,Anderson na Valencia waingie sub kama mambo yakiwa magumu
Van de Sar
Rafael
Evra
Smalling
Vidic
Scholes
Carick
Fletcher
Nani
Park
Rooney


Mkuu Flecher anaumwa muda mrefu sidhani kama atacheza.Vipi Valencia akianza pembeni Park akacheza kati ili kusaidia kulinda pindi tukishambuliwa unajua anauwezo mkubwa hasa movement zake zinasaidia sana.
 
Aminia Mbu, thanx for backing us🙂) kumbe kuna kabond kati ya Gunners&Red Devils, this is good!!
Powa,stick around dea!!

Katika hili usimwamini mbu.....keep your faith to ur brothers and sisters......:smile-big:....
Baadae tubomoe daraja..au sio?
 
T0NiGHT U9TEDS ARE GoNNA PAINT THE BRIDGE RED. By the way does any one know the possible line up.
 
Katika hili usimwamini mbu.....keep your faith to ur brothers and sisters......:smile-big:....
Baadae tubomoe daraja..au sio?

St.RR inabidi nimwamini ila akinichenjia nitamkumbusha ahadi yake..ooh yes, tukibomoa daraja nitakuwa happiest person on earth baada ya hiyo mechi!
usipotee bwanaaa!!!..:smile-big:
 
Yaani kesho Karume Day itakuwa nzuri baada ya daraja kuteketezwa leo usiku
 
Manchester United boss targets away goals at Chelsea



  • Venue: Stamford Bridge
  • Date: Wednesday, 6 April
  • Kick-off: 1945 BST
  • Coverage: BBC Sport website, BBC Radio 5 live and ITV 1

_52020988_vidic.jpg
United's Vidic could face Torres at Chelsea where his side last won in 2002 Sir Alex Ferguson has backed Manchester United to progress in the Champions League - if they gain an advantage in the quarter-final first leg at Chelsea.
United's manager will send his side out to score goals at Stamford Bridge in order to put them in a strong position for the return leg in Manchester.
"If we go back to Old Trafford with some advantage, we will be very difficult to beat," said Ferguson.
"The name of the game is to go back with a goal or maybe two."
Ferguson added: "On this occasion, I was quite happy to get the second leg at Old Trafford. It will be a magnificent atmosphere there."
United go into Wednesday's first leg without an away win over Chelsea for nine years. On 1 March they lost 2-1 at Stamford Bridge in the Premier League and their captain Nemanja Vidic was sent off.
Ferguson played down that record and stated: "The last few years have been poor in terms of results but we have played well."
But Vidic believes Chelsea's recent record against his team gives them the advantage.
 
That’s exactly what we are talking about … and you do not get it. Mnalilia sana na Arsenal kwa sababu tumewakalia vibaya, mlitaka mchukue ubingwa kiulaini na bado mtakoma ubishi mwaka huu patachimbika tu. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

hiyo inaonyesha Man U ndo mbabe siku zote..kwanini Man U wasiwakalie kooni the GOONERS!???? nyie mnawaza kuikalia kooni Man U tu!!! pole sana naona hadi ukilala uwa unaiota Man U...
 
Ningependa formation iwe 4-5-1,Chicharito,Anderson na Valencia waingie sub kama mambo yakiwa magumu
Van de Sar
Rafael
Evra
Smalling
Vidic
Scholes
Carick
Fletcher
Nani
Park
Rooney

Mkuu mi nilikuwa naona Anderson ni muhimu kuanza ili kusaidia kukaba na kusukuma mashambulizi
 
Mechi ya leo Valencia ana karata muhimu sana tangu arejee uwanja ametoa mchango mkubwa sana utadhani hajawahi kuumia kabisa combination yake na Rooney mwaka jana hakuna asiyeifahamu labda Wacha1.Valencia anatoa pasi haraka hapendi kuremba mpira akikuona umekaa kwenye nafasi anatoa mapande ya kufa mtu hakika sioni wa kumzuia pale darajani.

Luiz leo hatacheza huyu jamaa anamsaidia sana Terry ambaye ameanza kuchoka [umri na mechi nyingi mfululizo].Defence ya Chelsea itabidi kufanya kazi ya ziada kuwazuia Nani,Rooney,Valensia na Park.Sitashangaa sana kadi nyekundu ikitolewa mapema hasa baada ya John Terry kuzidiwa na mashambulizi ya nguvu.Tusisahau marefa wa ulaya hawawezi kuvumilia rafu za kujinga jana tumeona jinsi ngongoti Peter Crouch alivyowaangusha wachezaji wenzake kwa kucheza rafu ya kijinga huku akijua ana kadi nyingine ya njano.Nategemea Nani akitulia anaweza kupiga bao mbili au kusababisha bao mbili.

Nasikitika baada ya mechi ya leo meneja wa Chelsea Carlos Ancelotti atapoteza kibarua chake.Bepari la kirussia halina shukrani halitajili Carlos kawaletea vikombe viwili litamtimua kama mbwa koko.
 
carousel_roo3_1287102a.jpg



Nipo hapa napiga mluzi najua leo vicheche vyote vyenye roho mkononi
haviwezi kujitokeza hadi mwisho wa mpambano khe khe khe kheeeeeee
 
Back
Top Bottom