Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 651
Sio kutoa support kwa mrusi mwenzake (Abramovich) wachezaji wa West Ham nao nawaona.Kaja kuwasanifu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee
Sio kutoa support kwa mrusi mwenzake (Abramovich) wachezaji wa West Ham nao nawaona.Kaja kuwasanifu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee
Sio kutoa support kwa mrusi mwenzake (Abramovich) wachezaji wa West Ham nao nawaona.
Duh Michael Essien anataka kuua mapema mapema.
Torres is dying to score lol, mkamia maji..
Torres is dying to score lol, mkamia maji..
St.RR inabidi nimwamini ila akinichenjia nitamkumbusha ahadi yake..ooh yes, tukibomoa daraja nitakuwa happiest person on earth baada ya hiyo mechi!
usipotee bwanaaa!!!..:smile-big:
Tupo pamoja wakuu!
Anko Wacha1 chalama nkuu!?