Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee Bahasha zinafanya kazi khe khe kheeeeeee

Kosa lenu ni kutoa Bahasha mmenunua marefa karibu wote yule refa wa leo alijua jasho litamtoka baada ya kuona mko two down hivyo akaanza kuwabeba. Kama unavyojua kwenye soka small decisions zinasaidia sana kwenye kushinda mechi hasa kwenye EPL ambayo iko mfukoni mwenu. Kama ulivyoona Vidic alikuwa ni last defender alikuwa aone red kabla ya halftime na penalty aliyowanyima West ham ..... ....

Wewe si ulisema uwa huangalii mechi za Man Utd sasa umejuaje kama tumebebwa...? Hivi wewe kwa akili yako ulitegemea Demba Ba angeufikia ule mpira? Give me a break!! West Ham got what they deserved ukiangalia statistics West Ham walikuwa nyuma kwenye kila kitu heck mbali ya penalty zao mbili hawakumsumbua kipa wangu kabisa.

This talk of bahasha is getting old pretty fast.
 
Ni kweli mnapocheza huwa siangalii lakini ninazitape mechi zote then naangalia review kwenye utata unapotokea kwa sababu ya kuona kushinda kwenu its that simple mate! kama ukiangalia utaona refa hakuwa fair kwa kusema kwamba Demba Ba asingeufikia ule mpira huo ni unafiki wake tu .... ..... tena usiongelee mambo ya statistics kwa sababu wote tunafahamu mpira ni magoli. Vipi mbona huongelei penalty soft mliyopewa na refa huyo huyo kuwanyima penalty West Ham?

Kwa hiyo kwa sababu mnawadondosha kwenye penalty area ulitaka wasipewe au Vidic anapounawa mpira vile vile wasipewe penalty? wacha hizo mkuu .... .... khe khe khe kheeeeeeee

Speaking of soft penalty mbona wao walipewa soft penalty na hakuna aliyepiga kelele.. besides that ata ukitoa penalty waliyotupa still we scored three deserved goals for all I know we had the capabilities of scoring more.

Huyo refa aliyechezesha mechi ya leo ndio yule yule aliyewapa Birmingham goli la offside mwezi wa kwanza.
 
Khe khe khe mkuu chacha unaleta habari za January .... ..... Mkuu sio mimi peke yangu nilioona hilo hata ukisoma magazeti yote wanapoongelea huo mchezo licha ya tantrums za Wine Romney wanaongelea hizo favours mlizofanyiwa tena mara mbili.

Thats the reason washabiki wengi wanataka technology itumike kuwasaidia marefa kwa sababu mmezidi kubebwa.
 
Good news hatujapata majeruhi na Park karudi huenda tukacheza 4-5-1 against Chelsea
 
Wacha ngebe wewe ukweli umeuona na ulijua sitaacha kusema ukweli kwa mpira mnaocheza tutaona mtafika wapi! Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nashangaa hii ni moja ya kikosi kibovu cha ManU lakini kinawatesa ngoja next season tutawapiga tena goli sita
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Wacha ngebe wewe ukweli umeuona na ulijua sitaacha kusema ukweli kwa mpira mnaocheza tutaona mtafika wapi! Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hivi mpaka sasa hivi hujui tumefika wapi na mpira hu huu tunaocheza?

ha ha ha ha ha haaaaaaa barca nao wanatembeza sana bahasha nini?
 
Kwa hiyo kwa sababu mnawadondosha kwenye penalty area ulitaka wasipewe au Vidic anapounawa mpira vile vile wasipewe penalty? wacha hizo mkuu .... .... khe khe khe kheeeeeeee

mkuu alieunawa mpira alikua ni Evra....ila pole sana kwa huzuni..ukiichukia Manchester United unaweza ukafa bado kijana (kama ni kijana!!)
 
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee Bahasha zinafanya kazi khe khe kheeeeeee

Kosa lenu ni kutoa Bahasha mmenunua marefa karibu wote yule refa wa leo alijua jasho litamtoka baada ya kuona mko two down hivyo akaanza kuwabeba. ..... ....

kwaiyo Man U wananunua marefa kila mechi eenh? so makombe 18 so far yote ni matokeo ya kununua marefa??!? ebu toa stress kwa kugonga link hizi down...naona una stress za draw dhidi ya Rovers

Barclays Premier League Football League Table 2010/11 on the Official Site of the Premier League

Barclays Premier League Statistics - 2010-11 - ESPN Soccernet
 
Nashangaa hii ni moja ya kikosi kibovu cha ManU lakini kinawatesa ngoja next season tutawapiga tena goli sita

Bora uwambie hao wanazi wasiofuatilia kabumbu kwamba timu yenu si chochote si lolote. Angalau unauona ukweli ambao umegubikwa na bahasha. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Mambo bado tulieni its not over until is over ... .... ...
 
Hoja chovu mno kuliko zote...unafikiri EPL ni ligi ya mchangani nini ? Wenzetu wapo makini mno kitendo cha kutoa bahasha ni sawa na kuiua timu yako.
 
Bora uwambie hao wanazi wasiofuatilia kabumbu kwamba timu yenu si chochote si lolote. Angalau unauona ukweli ambao umegubikwa na bahasha. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Mambo bado tulieni its not over until is over ... .... ...

Kwani kuna aliewanyima nyie kutoa bahasha

Na mtakoma hadi muache ubahili....kikosi kinajaa wachezaji wa bure na mkopo na fedha za kununulia ndimu unatarajia nini baba akeeee.....

Tetehehe...Nilicheka sana juzi kumuona Jens Lehman....

Arsenal bana, kama wehu fulani hivi, mnapenda sana vya kusogezewa
 
A.k.a Wachezaji wa mafungu kutoka kwenye minada ya ufaransa
 
BB56CDBB71EC4861B3E43A32450A37E3.ashx
 
Today at Old Trafford

Our editorial team provide regular updates from OT. Join in on the Talking Reds thread.

Monday 4 April
10:50 Paul Scholes granted me a good interview earlier, wandering into the press room at Carrington on time, before training, to talk about Chelsea, Fulham, Sparky, City, cricket and more. Yes, cricket. In the words of the old 10cc track, he "don't like cricket". Oh no. He "love it." Look out for quotes in forthcoming articles on ManUtd.com, in United Review this Saturday and next month's Inside United. (AB)
09:39 There's one man dominating the headlines today - Wayne Rooney, and unfortunately it's not his hat-trick which everyone seems to be talking about. Nope, all the talk is still about his goal celebration, for which he apologised immediately after Saturday's game. (GT)
09:35 Adam's down at Carrington speaking to Paul Scholes for the Fulham programme. The midfielder will no doubt be desperate to get back out on the pitch after spending the last three weeks watching from the sidelines because of a domestic suspension and the international break. (GT)
09:28 Morning. So what a weekend of results with the Reds producing a stunning comeback at Upton Park and both Arsenal and Chelsea dropping points. It was a fantastic way to start what we've dubbed 'epic April' with attentions now turning to the Champions League quarter-final first leg at Stamford Bridge. The Reds will take great confidence from their performance and comeback on Saturday and
 
ukiona west Ham kanyolewa ujue kamaliza zamu yake wengine tieni maji msije nyolewa kavukavu
 
Back
Top Bottom