Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ah kule palikuwa sababu ya shule .....shule imeisha nimerudi kijijini kwetu karibia na kwenu......nawe bado upo uku shamba.? Au wazee wa VAT walikuamisha mji?

Siku hizi nimezidi kuwa kibaka. Nipo kila sehemu.

Tarehe 1 sept nitakupitia twende kwenye ukuta.
 
GettyImages-596421678.jpg
 
Siku hizi nimezidi kuwa kibaka. Nipo kila sehemu.

Tarehe 1 sept nitakupitia twende kwenye ukuta.
Poa we nipitie tu....nami najiandaa vyema....
Unajua nilikuwa nakutafuta....sasa juzi nikakubamba mahali....nikasema kumbe ni wewe.....aya fanya kunichek mana nina ishu moja kuhusu lukoa.....
 
Poa we nipitie tu....nami najiandaa vyema....
Unajua nilikuwa nakutafuta....sasa juzi nikakubamba mahali....nikasema kumbe ni wewe.....aya fanya kunichek mana nina ishu moja kuhusu lukoa.....

Haya. Ngoja nikucheki.

Halafu nimekumiss ujue.??
 
Halafu mnajua nini wakuu,

Kuanzia leo naanza kuhesabu mechi ambazo Degea hajageuka kambani kuokota mpira. Leo ni mechi ya pili. Kwa ukuta huu, kiungo hiki, naamini atavunja Record ya Vandeser ambaye kipindi fulani alienda mpaka mechi ya 11 kama sikosei.

GGMU GGMU GGMU

BACK TANGANYIKA
 
Uyu Mike Phellan ameiga mbinu za Sir Ferguson nn? duu jamaa wamekaza sio kitoto sijui waliaidiwa nn? Namuona Fellani anarudi zama zake Ibramovic anadeceive kuwa na black belt very flexible utadhan ako na miaka 20 bana...leo game imekua kama fainali ya UEFa all in all point 3 tumepata ndo cha msingi beki za hull cty leo watalala na viatu.
 
Halafu mnajua nini wakuu,

Kuanzia leo naanza kuhesabu mechi ambazo Degea hajageuka kambani kuokota mpira. Leo ni mechi ya pili. Kwa ukuta huu, kiungo hiki, naamini atavunja Record ya Vandeser ambaye kipindi fulani alienda mpaka mechi ya 11 kama sikosei.

GGMU GGMU GGMU

BACK TANGANYIKA

Nahofia DeDea anaweza kushuka makali yake.

Enzi hizi hashughuliki kabisa.
 
Back
Top Bottom