LVG aliondoa confidence ya wachezaji wengi, hadi Fellaini now anaonekana mchezaji mzuriblind ni mzuri sana akicheza CB ila LVG alikua anamchezesha LB, ndio maana hakua vzr, mara 1000 acheze DM utampenda
Umeshajiuliza pia kwa nini wakose hiyo chemistry sijui physics?? Wamepotezwa plan zote zimegonga mwamba wanajikuta wabadiri upepo tuSaints wamekosa chemistry tu game wangeshinda
Kweli kabisa, ananguvu, stamina, na anauwezo wa kudefendi na kushambulia zaidi ya yote ni msambazaji mzuri wa mipira...
LVG aliondoa confidence ya wachezaji wengi, hadi Fellaini now anaonekana mchezaji mzuri
akiweka mpira kati kati ya miguu yake huchukui labda mje wanne na refa asiwaone maana akiwaona tu jua kadi inakuhusu
Kwa sasa hakuna anayepiga kelele, Pogba kawanyamazishaMajirani leo huu mlango umekuwa wa Moto, Tena Moto wa Lava!!!
Nawataka wote waliokuwa wakidai Pogba hana thamani ya £89. Thamani na radha halisi ya Soka aka Football au Kabumbu kwa lugha ya kwetu inaonyeshwa hapa na huyu wana..!!
Kunajamaa alijiuzuru kushabikia Ars, Kafanya uamuzi mzuri, maana wenzake wanajing'oa nyongo. Sasa mlango uko wazi aja apate raha hapa OT
BACK TANGANYIKA
Nilichojifunza kwenye mechi ya leo:
Ile fear factor ya Old Trafford inaanza kurudi taratibu.
Mkubwa Fella ( Fellaini )amepiga shughuli flani ya kiutu uzima leo.
Pogba bado hajawa fiti asilimia 100 lakini movement zake ni za hatari tunaomba marefa wamlinde. Baada ya muda mrefu sasa tumepata Box-to-Box Midfielder.
Ni bora Zlatan Mzee kuliko Giroud Kijana.
Eric Bailly ni Nemanja Vidic mpya!!