Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,990
hivi humu ndani si kuna jukwaa la chelsea arsenal man city liverpool na mengineyo sasa huo ushaur mnaotupa kwa ajili ya man utd c mpeleke kwenye team zenu mkajadiliane sio kila siku mnasajili wazee mara mou ana mipango ya muda mfupi mara pogba doesnt worth that amount....
mna mengi ya kuzungumzia team zenu mtuache tujadil team yetu na jukwaa letu
mna mengi ya kuzungumzia team zenu mtuache tujadil team yetu na jukwaa letu