Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Huyu Bailly ni balaaSimbaaaa![]()
Huyu Bailly ni balaaSimbaaaa![]()
Allah akufanyie wepesi , urudi kwenye hali yako ya kawaida.Am happy for you Man U,mmenifanya nijiskie poa Hata km niko kitandani naumwa. ..... #GGMU
Au vidichuyu ni next jaap stam,
Maana shughuli yake sio mchezokweli kabisa huyu ni vidic mpya,
Hali ya hewa imeharibika huko kwenu.....Its raining goals.....!Naona mnafurahia "kwa sasa", hivi Man U haina Eve mwingine? Nataka aharibu hali ya hewa...
Mb 2tu au Gb2 mimi ndo sijaelewaHivi ni internet plan ipi utaona live soccer streaming bila kukatakata
Nina megabyte 2 za one day kifurushi cha vodacom lakini inakatakata