Pole sanaAm happy for you Man U,mmenifanya nijiskie poa Hata km niko kitandani naumwa. ..... #GGMU
Seriously??? ......... kwa kumfunga Bournemouth tu??!. ubingwa sio makalio.HUU MWAKA TUNAONDOKA NA KOMBE
Kumfunga Bournemouth ni hatua mojawapo ya kuchukua ubingwa.Seriously??? ......... kwa kumfunga Bournemouth tu??!. ubingwa sio makalio.
Kumfunga Bournemouth ni hatua mojawapo ya kuchukua ubingwa.
Alikuwa de gea na sasa ni Bailly kuwa mchezaji bora wa mechi mfululizo. Ili man utd kubalance inahitaji man of the match wawe viungo na washambuliaji zaidi. Ni mtizamo tu wakuu.
hahahaaa.....tena vichekesho vya mwaka.Mshambuliaji wa Real madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Karim Benzema amekamilisha uhamisho wake wa pounds millioni 70 na kujiunga na klabu ya Arsenal ya nchini Uingereza,ili kupata vichekesho vingine kama hiki tuma neno WENGER kwenda 15528
wow nimeipenda hiyo.......hadi raha.