Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hivi kweli??! viera na zizuu unawafananisha na huyo Pogba?? wakati hajafikia hata nusu ya kiungo wa kauzu fc ...........


mtufunge kwa kocha gani?! huyo saa mbovu" msimu unaokuja mkitufunga nitatembea uchi kuanzia ubungo mpaka posta.
Ok, maneno yako tunayaifadhi.
Najua wewe ni shabiki wa Chelsea.
Noted
 
Since SAF aondoke mnatumia pesa kama vile dunia itakwisha leo. Vijana pia huwa mnajipa matumaini ya kurudi kileleni mwishoni mnaangukia pua. Huyu dogo anaweza kuwa kama Di Maria aliyenunuliwa kwa pesa nyingi akashindwa ku-shine mwishowe akauzwa kwa hasara. Big transfer players huwa wanakuja na big egos, I hope his egos and Mourinho's wont crash.
Mi nawapa pole hawawezi kurudi yena kileleni mourinho sio kocha wa kuwarudisha kileleni
 
Mkuu hata SAF alikuwa ana sajili kwa pesa nyngi pia
Halaf mambo yamebadilika kama sterling aliuzwa ja £50 milion
Pogba auzweje!!?
Ndio maana anayejali bei mzee wenger hanunui kabsa (ndo suluhisho hilo kama hutaki ku spend)
Halafu poga mpaka mwakani pesa ya mauzo ya jezi tuu utakuwa isha rudisha faida

Ndo mpira usha badilika hvo, na tuna badilika nao
Tunakusubiri december hapo si mbali
 
Kwanza itabidi ujitoe ufahamu ukitaka kuongea/kubishana na mashabiki wa arsenal masuala ya transfers, hasa ukija upande ya ada za uhamisho, wanachoamini wenyewe na mzee wao wenger ni kwamba CL bado inamata kumshawishi mchezaji kujiunga na club flani wamesahau mpira wa sasa ni pesa.

Higuain miaka 28 kwenda juve kwa £75mill its ok but pogba miaka 23 kwenda utd kwa £89 mill is overpriced and overrated.

No wonder wanasajili akina takuma.
Footbal talent Derivery matter Ata uwe na miaka 50 lakin pogiba hamna kitu pale
 
Ahsante kwa kutupa pole lakini timu hii kipaumbele chake ni mafanikio ndo maana ni Liverpool ndo wamechukua UCL mara nyingi zaidi yetu ila tizama vikombe vingine vyote tunaongoza sisi.
Kwa sasa mnafanya nini recover?? Au immedietly recovery kama ya LVG
 
Ni vugumu sana club zingine kama liverpool na arsernal kufanya kama tunavyofanya sisi, hizo hela za kuvunja record ya Madrid hawana. Mnabaki kuiponda utd coz hizo hela hakuna . we ar the glory hunters .
 
Mi nawapa pole hawawezi kurudi yena kileleni mourinho sio kocha wa kuwarudisha kileleni


Kocha wa kumfananisha nae pale epl ni pep tu hayo maneno yako unayapa ushahid gani kama sio kocha mwenye mafanikio? pele hakuna hata kocha aliebeba eufa champions ligi halafu uje na huo utabir wako mbaazi zikikosa maua husingizia jua!!
 
Back
Top Bottom