Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
It is Man Utd against the World.
hivi kweli??! viera na zizuu unawafananisha na huyo Pogba?? wakati hajafikia hata nusu ya kiungo wa kauzu fc ...........Zizou na viera walikuwa na spidi eeee?
mtufunge kwa kocha gani?! huyo saa mbovu" msimu unaokuja mkitufunga nitatembea uchi kuanzia ubungo mpaka posta.Nyie Chelsea tutawanyosha msimu huu mpaka mshuke daraja kabisa
msimu unaokuja mkitufunga nitatembea uchi kuanzia ubungo mpaka posta.
After Paul Pogba join man utd.Only paul who can join arsenal is Paul Makonda
by
#RobertMugabe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Guess what?????
And sanogo is back to arsenal
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Mkuu usinifanye nije dar kukushuhudia ukifanya hili tukio
hivi kweli??! viera na zizuu unawafananisha na huyo Pogba?? wakati hajafikia hata nusu ya kiungo wa kauzu fc ...........
mtufunge kwa kocha gani?! huyo saa mbovu" msimu unaokuja mkitufunga nitatembea uchi kuanzia ubungo mpaka posta.

Kwa mkopo au moja kwa moja?
SOLD.... MAZIMA HIYOKwa mkopo au moja kwa moja?
Moja kwa moja haoKwa mkopo au moja kwa moja?