Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Since SAF aondoke mnatumia pesa kama vile dunia itakwisha leo. Vijana pia huwa mnajipa matumaini ya kurudi kileleni mwishoni mnaangukia pua. Huyu dogo anaweza kuwa kama Di Maria aliyenunuliwa kwa pesa nyingi akashindwa ku-shine mwishowe akauzwa kwa hasara. Big transfer players huwa wanakuja na big egos, I hope his egos and Mourinho's wont crash.
Mkuu hata SAF alikuwa ana sajili kwa pesa nyngi pia
Halaf mambo yamebadilika kama sterling aliuzwa ja £50 milion
Pogba auzweje!!?
Ndio maana anayejali bei mzee wenger hanunui kabsa (ndo suluhisho hilo kama hutaki ku spend)
Halafu poga mpaka mwakani pesa ya mauzo ya jezi tuu utakuwa isha rudisha faida

Ndo mpira usha badilika hvo, na tuna badilika nao
 
1470734815260.jpg
 
Beki ghali duniani alikuwa rio ferdinand unajua nani alimsajili?
 
Manchester imesajili sharobaro kwa thamani aliyopewa na usharobaro alionao akiwa uwanjani sijui yangu macho
Uoga wako ndo umasikini wako wataalamu hawajamwangalia pogba kwa msimu huu tu

Man Utd need to build around a group of young hungry players like Martial, Lingard, Rashford and Pogba is the one to lead that group from the front - the only way he would want it.

Good luck Paul

Rio

#Pogback #mufc #juventus #pogba
 
Since SAF aondoke mnatumia pesa kama vile dunia itakwisha leo. Vijana pia huwa mnajipa matumaini ya kurudi kileleni mwishoni mnaangukia pua. Huyu dogo anaweza kuwa kama Di Maria aliyenunuliwa kwa pesa nyingi akashindwa ku-shine mwishowe akauzwa kwa hasara. Big transfer players huwa wanakuja na big egos, I hope his egos and Mourinho's wont crash.

Kitu cha msingi ni klabu inaingiza fedha nyingi mpaka inaweza kumnunua mchezaji kwa hiyo hela.Bei ya Sterling na Mangala (49+42=£91m wote magalasa) ni kubwa kuliko aliyonunuliwa Pogba

Naskia mnakaribia kumsajili legend wetu John Evans
 
Raheem sterling... Kiku*du juu... Natania tu
 
Pogba kawaumiza sna kila siku wanaiombea manchester united iwe kama liverpool kila mmoja mshaur wa matumiz ya pesa za manchester united mwingine hana kiwango hicho alupokuwa juve kila mmoja bonge la mchezaji anaenda manchester hana kiwango ed alishatamka hataki kuona manchester united ikiendelea kuwa na wachezaji wa kawaida anataka level za kidunia
 
Mkuu hata SAF alikuwa ana sajili kwa pesa nyngi pia
Halaf mambo yamebadilika kama sterling aliuzwa ja £50 milion
Pogba auzweje!!?
Ndio maana anayejali bei mzee wenger hanunui kabsa (ndo suluhisho hilo kama hutaki ku spend)
Halafu poga mpaka mwakani pesa ya mauzo ya jezi tuu utakuwa isha rudisha faida

Ndo mpira usha badilika hvo, na tuna badilika nao

Beki ghali duniani alikuwa rio ferdinand unajua nani alimsajili?
Kwanza itabidi ujitoe ufahamu ukitaka kuongea/kubishana na mashabiki wa arsenal masuala ya transfers, hasa ukija upande ya ada za uhamisho, wanachoamini wenyewe na mzee wao wenger ni kwamba CL bado inamata kumshawishi mchezaji kujiunga na club flani wamesahau mpira wa sasa ni pesa.

Higuain miaka 28 kwenda juve kwa £75mill its ok but pogba miaka 23 kwenda utd kwa £89 mill is overpriced and overrated.

No wonder wanasajili akina takuma.
 
Hawa watu wa ajabu sana mkuu walikesha humu kumsema vibaya sir alex kuhusu pogba kuondoka karud wimbo umebadilika sasa najua kigezo chao thamani ya pesa pogba kaigharimu manchester united tokea anaanza kusajiliwa na sir alex nasura eufa waifungie kusajili sioni sababu ya kuachia huyu bora wamemrudisha kundini
 
Kuna kitu umekiacha nyuma mkuu,
Wakati unawaza na kuchambua kufungwa kwa Leicester city ni sawa, lakini unasau kuchambua na upande wa pili wa man u, kwanini isiwe kufungwa kwao kumechangiwa na ubora wa man u ya sasa tofauti na ya msimu uliopita. Ckuona tatizo kubwa kwa city, bado wapo vizuri sana kiushindani.
Hili nalo neno.
 
Hahahaha watu wanatokwa povu na bado mtakua mnaangalia mechi huku mmeshika remot yote hiyo ni kwaajil ya wivu hakun kingine
 
Since SAF aondoke mnatumia pesa kama vile dunia itakwisha leo. Vijana pia huwa mnajipa matumaini ya kurudi kileleni mwishoni mnaangukia pua. Huyu dogo anaweza kuwa kama Di Maria aliyenunuliwa kwa pesa nyingi akashindwa ku-shine mwishowe akauzwa kwa hasara. Big transfer players huwa wanakuja na big egos, I hope his egos and Mourinho's wont crash.
By the way, Manchester United is among the richest club world wide. Its not a big deal.
 
Back
Top Bottom