xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
Sio mbaya, hata mm sikutegemea kama atacheza maana hakuwa na maandalizi yyte alikua anakula bata miami tu.Wakuu naskia pogba mechi ya jpili hatacheza
Sio mbaya, hata mm sikutegemea kama atacheza maana hakuwa na maandalizi yyte alikua anakula bata miami tu.Wakuu naskia pogba mechi ya jpili hatacheza
MkuuTimothy Fosu-Mensah has signed a new four-year contract at Manchester United, which will see him remain at the club till 2020.
Mkuu
Jumapili tuko ugenini ee!!?
Anhaaa ahsanteNdio mkuu ila pogba hayomo sio mbaya.
Anhaaa ahsante
Hata hvo ka train sku chache ni bora apumzike
Yeap yeapKweli kabisa apunguze na presha aanzie kucheza old traffod.
Paul Pogba is suspended for Manchester United's first game of the Premier League.Sio mbaya, hata mm sikutegemea kama atacheza maana hakuwa na maandalizi yyte alikua anakula bata miami tu.
labda vikombe vya chai kabatini, yeye kombe alilopata ndio hilo hilo "kombe lina shepu ya shilingi ishirini"Ni kweli Mourinho ana winning mentality, lakini sio mzuri kwa long term investment. Atawapa vikombe msimu huu, hilo halina ubishi lakini next season mtalia tu kama sisi.
labda vikombe vya chai kabatini, yeye kombe alilopata ndio hilo hilo "kombe lina shepu ya shilingi ishirini"
Mtaongea yote mwaka huu......labda vikombe vya chai kabatini, yeye kombe alilopata ndio hilo hilo "kombe lina shepu ya shilingi ishirini"
Huyu handsome pembeni ya Pb ni nani?
Dada mzuri mambo?Mtaongea yote mwaka huu......
Huyu handsome pembeni ya Pb ni nani?