Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Its better ukakaa chini ukajiuliza kwann mlitemwa na vardy licha ya kuwa na msimu bora kabisa ndani ya miaka 12, ukaacha kupiga ramli humu ndani wakati mafanikio yenu makubwa kwa zaidi ya miaka kumi sasa ni kumaliza juu ya spurs na utd.
Vardy hakutumia busara kabisa
 
Kumbe hujaelewa ata... Kwasasa man u inachotafuta ni immediate recovery si vinginevyo kocha kama jurgen Klopp ndio alifaa haswa kua kocha wa man u kwa long term plan sio mourihno atakae wapotezea taswira mwisho muishie kumtukana kua oooh Mara much knowing kama Kawaida yenyewe Mtaomba afukuzwe N ndicho kitakachotokea, Yani pale wamiliki wanaangalia delivery ya biashara zao kama itaendekea kufanya vibaya mambo yatakua ovyo na mbaya zaidi wazungu hasa uingereza katika michezo unaposema umemleta kocha flani,au mshambuliaji flani inaleta nguvu na matumaini ya kwa washabiki kama nyie lakini kiukweli kabisa kimpila mou kwa sasa yuko kwenye depresion msitegemee kama atawafikisha mahali kokote .

Klopp aende wapi mzee fainali zote looser tu
 
halafu unasahau makocha wanaajaliwa ili wafukuzwe mou sio kocha wa kwanza kuifundisha red devils akishindwa kufikia malengo lazima afukuzwe ila kwa usajili hizo timu zenye nguvu ulaya toka 2000 had leo wamepita makocha wangapi kimpira sioni manchester united kupotea hilo sahau.
 
Kuspend ni vizuri Ko kibiashara bila faida au na faida
Tunachokifanya ni muhimu sana kwasababu bila kufanya hivo utakuwa kama liverpool au arsenal unajisifu na historia ambayo wakati kiukweli tunaendelea kwenda chini na unaatract less companies kwako na hakuna fan base mpya unayoitengeneza kwasababu ya mafanikio madogo .
Ndo maana Leo watu wanasema liverpool ni timu ya wazee, una ona same situation kwa Newcastle. So , hatutaki kufika huko, ndo maana mi nasuport matumizi ya hela nyingi as long as tumezitengeneza wenyewe.
 
Asiye mwana na aelekee jiwe.

1471099440207.jpg
 
Kumbe hujaelewa ata... Kwasasa man u inachotafuta ni immediate recovery si vinginevyo kocha kama jurgen Klopp ndio alifaa haswa kua kocha wa man u kwa long term plan sio mourihno atakae wapotezea taswira mwisho muishie kumtukana kua oooh Mara much knowing kama Kawaida yenyewe Mtaomba afukuzwe N ndicho kitakachotokea, Yani pale wamiliki wanaangalia delivery ya biashara zao kama itaendekea kufanya vibaya mambo yatakua ovyo na mbaya zaidi wazungu hasa uingereza katika michezo unaposema umemleta kocha flani,au mshambuliaji flani inaleta nguvu na matumaini ya kwa washabiki kama nyie lakini kiukweli kabisa kimpila mou kwa sasa yuko kwenye depresion msitegemee kama atawafikisha mahali kokote .

Badala ya kuishauri timu yako, uko uki bze unaishauri Man Utd ili ifanikiwe.
 
Kesho kuna mtu ataondoka na hatrick..
Kina timu itakula goli za kutosha.
 
Mou kasaini man u miaka mi3 anasajili wazee wa miaka 33 sasa kama si immediately recovery ni nini nawaza kama mtashindwa kudeliver itakuaje mtamfukuza au ndio story
 
Back
Top Bottom