RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,308
- 134,755
Mtu wenu alilia huyu....hatimae ndoto yake imetimia!Man City..
Mtu wenu alilia huyu....hatimae ndoto yake imetimia!Man City..
Usajili wa Pogba umewauma sana wapinzani.
Wakati yupo Juventus walikuwa wanamconsider kama bonge la mchezaji. Leo katua OT wanamuona wakawaida.
Kama mnasahasira sana kunyeni matikiti.
Yaani kama vile nakumbuka zamani waqt ule tunafungwa mbili lakini moyo bardii najua zitarudi na kweli zinarudi
Safari hi nakupiga easily kabisaBadili msemo...huu tumeuzoea na hamna mabadiliko.
Sawa kaka....msiependa kaja lakini.Safari hi nakupiga easily kabisa
Unanipa points 6 ktk kuchukua EPL yangu
Pogba is very ill-legged mido,hawezi kasi ya Coutihno na Mane
HatishiSawa kaka....msiependa kaja lakini.
Ni kweli Mourinho ana winning mentality, lakini sio mzuri kwa long term investment. Atawapa vikombe msimu huu, hilo halina ubishi lakini next season mtalia tu kama sisi.Kinachonipa moyo ni winning mentality ya Mourinho.....kila game ni must win game, sio LVG hata game muhimu mnaelekea kuipoteza hafanyi chochote anabaki kuandikandika tu!
Ok lets wait and see.....dont forget this is Man unt.Ni kweli Mourinho ana winning mentality, lakini sio mzuri kwa long term investment. Atawapa vikombe msimu huu, hilo halina ubishi lakini next season mtalia tu kama sisi.
Kwa mujibu wa chombo cha khabari hapo juu inawezekanaWakuu naskia pogba mechi ya jpili hatacheza