Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Rooney jipuNamba 10 anayocheza Wazza leo anazingua
Rooney jipuNamba 10 anayocheza Wazza leo anazingua
Inabidi atumbuliwe.Rooney jipu
sina imani. Ila itabidi nikubali tu kama we ulivyo mkubali MourinhoVipi mkuu? Bado huna imani kama pogba anakuja?
Hata lingard kweli?![]()
Sio rahisi kwa muingereza mkuu..Inabidi atumbuliwe.
Mkubwa Fella katuchoma. Sio kesi, toa Wazza nje ingiza MickyFelaini
HahahahaMkubwa Fella katuchoma. Sio kesi, toa Wazza nje ingiza Micky
Arsenal wana hela?Vardy .. dah. Bora Arsenal walimkosa. Ingekuwa sheeda
Aisee cjui yule rooney wanampendea nini nae... Mara 100 aka rashid fuadi a.k.a rashford a.k.a dashboardHv kati ya rashfold na rooney nani anastahili kukaa betnchi?
Mkianza kuzoza hivi..Rooney atatupia sasa hivi..Aisee cjui yule rooney wanampendea nini nae... Mara 100 aka rashid fuadi a.k.a rashford a.k.a dashboard
Mkianza kuzoza hivi..Rooney atatupia sasa hivi..