Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahaha level ya mpira wa leo hauna tofauti na wa LVG, kuna mechi mlichezaga kama hivi msimu uliopita. Ingawaje mechi hii sio kipimo mtakavyokuwa bado mnapoteza possessions katikati kama last season or two.
Mpira wa kawaida mnooo! Labda kwa vile ndio msimu unaanza NA ukizingatia wachezaji wengi ni wagen
 
Hapo Wembly Crystal Palace na Everton ndio wametoka kunyolewewa na Man U na Leicester leo ndio wanaingia kwa mara ya kwanza wakabaki kushangaa uwanja
 
Ibra ametoa ishara ya ngumi mbili na kidole kimoja akimaanisha 11? Na je alimaanisha lile goli ni kwa ajili ya Martial au ametoa ishara ipi??
 
1470589699526.jpg
 
Nipo hapa kibanda umiza naangalia mpira sasa match imeisha wanaonyesha upokeaji wa zawadi sasa jamaa si akaweka taarifa ya habari mmh ukumbi mzima wamepiga kelele za toaaa toaaaa na matusi juu basi jamaa katoa taarifa ya habari karudisha highlights za man u
 
Back
Top Bottom