Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Mechi kati ya Manchester United vs galatasaray ni hapa live
Nakutegemea kunipa mautamu hapaNipo mbele kabisaa kama nilivyoahidiView attachment 373536




Mechi kati ya Manchester United vs galatasaray ni hapa live






Yaani wametulemea aiseee wamepata nguvu zaidi baada ya kufunga halafu imetufanya tucheze tucheze nyuma zaidi kulinda.Aisee hii game ni kali sana, hawa galatasaray wamekamia game ile mbay na kifupi wametukazi kichizi