Naona hata Tony akija*ba msaga sumu wewe utatutaarifu....hicho kigazeti cha udaku na chenye mlengo wa kipopulist kama alivyo mtukufu rais JPM, hata kuchamb*a hakifai
Kama ningekuwa Mourhino ningemsajili Blaise Matuidi ambaye cost yake si zaidi ya pound 30 milion na bado angeleta uhai katika kiungo badala ya kutumia 130 milion.
Na bado hiyo ni ndogo mkuu,Juve hawataki kuinclude commission ya agent,hivyo Man u wakikubali ina maana ngoma itagonga 140!Kama ningekuwa Mourhino ningemsajili Blaise Matuidi ambaye cost yake si zaidi ya pound 30 milion na bado angeleta uhai katika kiungo badala ya kutumia 130 milion.
Mkuu umenikumbusha cartoon moja kule goal.com juzi ilinichekesha sana.
Arsenal searching for a striker like...
View attachment 371546
Hahaha kwa hiyo hata alivyounfollower timu katika Twitter na Instagram ni uongo? Wapenzi wa Manchester United na wengine wanaliongelea hilo mitandaoni. Najua Metro ni la bure hata mitaa hii lakini sio pekee lililoongelea hilo, angalia express.co.uk nao wamepost hii issue. Bbc gossip wanapost vitu toka magazeti mbalimbali na social media za watu maarufu pia wana verify kabla ya ku-quote. Unajua jambo linapokuwa ni positive kwa timu wapenzi wanalikubali hata kama limetoka mdomoni mwa bubu likiwa negative linapingwa.
Hujawagundua huwa wazuri wa kutushauri sisi na sio timu yao.Achana na mambo ya United. Ongeza juhudi mshauri Wenger asajili watu wa maana sio kina Takuma.
Hujawagundua huwa wazuri wa kutushauri sisi na sio timu yao.
Sasa kuna timu tunacholingana nayo ni tu ilipata kucheza fainali ya UCL na haikuchukua basi vingine vyote wingi wa vikombe vya ndani na nje tumeizidi leo washabiki wake bila haya wala woga wanakuja kutushauri.Ukiona hvyo ujue tmu zao n za ovyo
Sasa kuna timu tunacholingana nayo ni tu ilipata kucheza fainali ya UCL na haikuchukua basi vingine vyote wingi wa vikombe vya ndani na nje tumeizidi leo washabiki wake bila haya wala woga wanakuja kutushauri.
Huwa wanachekesha sana kabati halijakamilika kelele nyingi ndo maana watu huwaita mabingwa wa mioyoni.Timu nyingne hazina ata picha ya kombe la UEFA