Hehehehehehehe nasikia kinawaka chini chini baada ya Martial kunyang'anywa jezi namba 9 ambayo amepewa Ibrahimovich na Martial kupewa jezi ya Giggs. Kitendo hiki kimesababisha Martial ku-unfollow/unlike Manchester United katika mitandao ya kijamii. Hata kabla ya ndinga kuguswa msimu huu Mourinho kashaharibu hali ya hewa, sijui itakuwaje timu itakapokwenda mechi 2 au 3 bila ushindi. Tusubiri tuone.
cc Nzi Belo RRONDO, DonDonald, Bavaria, herrera
Mkuu mnamuogopa sana Special One lolHehehehehehehe nasikia kinawaka chini chini baada ya Martial kunyang'anywa jezi namba 9 ambayo amepewa Ibrahimovich na Martial kupewa jezi ya Giggs. Kitendo hiki kimesababisha Martial ku-unfollow/unlike Manchester United katika mitandao ya kijamii. Hata kabla ya ndinga kuguswa msimu huu Mourinho kashaharibu hali ya hewa, sijui itakuwaje timu itakapokwenda mechi 2 au 3 bila ushindi. Tusubiri tuone.
cc Nzi Belo RRONDO, DonDonald, Bavaria, herrera
Mkuu mnamuogopa sana Special One lol
Hizo habari umezipata wapi mkuu?
Najua sasa hivi unasubilia game la Utd na City.... sio wewe tuu Dunia nzima watu wanasubilia kuwaona Utd
Metro ni gazeti la bure UK, train stations, Bus stations unayakuta yamewekwa abiria wasomeBavaria angalieni BBC gossip section or Metro
Martial unfollows Man United on social media after club give his no.9 shirt away
Manchester United forward Anthony Martial reportedly un-followed his own club on social media after they gave his number nine shirt to new signing Zlatan Irbrahimovic. (Metro)... Zinadiskasiwa mitandaoni kila sehemu...
Metro ni gazeti la bure UK, train stations, Bus stations unayakuta yamewekwa abiria wasome
Halafu hiyo habari ipo kwenye gossip section ya BBC? DAH
Ila hata kama ni kweli hakuna madhara yeyote yatakayotokea, kwa sababu hiyo team ni Man Utd hakuna mtu yupo mkubwa kuliko team
Dogo msimu ukianza ataendeleza alopoishia msimu uliopota kutupia
Si unajua Big Sam hana kulemba ni kazi kazi tuuDonDonald naona 3 Lions mmepata kocha kifaa mzuri. Big Sam atawarudisha katika anga za kimataifa, hamtagongwa na vitimu vidogo kama Iceland chini ya uongozi wake.
Dogo ninatumaini anajua kuwa Fergie yupo around, kwahiyo inabidi awe anafanya maamuzi ya akiliHahaha kwa hiyo hata alivyounfollower timu katika Twitter na Instagram ni uongo? Wapenzi wa Manchester United na wengine wanaliongelea hilo mitandaoni. Najua Metro ni la bure hata mitaa hii lakini sio pekee lililoongelea hilo, angalia express.co.uk nao wamepost hii issue. Bbc gossip wanapost vitu toka magazeti mbalimbali na social media za watu maarufu pia wana verify kabla ya ku-quote. Unajua jambo linapokuwa ni positive kwa timu wapenzi wanalikubali hata kama limetoka mdomoni mwa bubu likiwa negative linapingwa.
Dogo ninatumaini anajua kuwa Fergie yupo around, kwahiyo inabidi awe anafanya maamuzi ya akili
Special One yupo sana Old Trafford na December ndio muda wake wa kuhakikisha kwa njia yoyote ushindi unapatikana.Hahaha Mourinho akishindwa kuondoka na at least 2 wins December, Fergie atapiga ndogo ndogo behind the scene atimuliwe. Babu hatataka Mourinho apewe nafasi kama aliyopewa Moyes.
Special One yupo sana Old Trafford na December ndio muda wake wa kuhakikisha kwa njia yoyote ushindi unapatikana.
Timu yako inajiandaa vipi?
Hahahaha hauna imani na Prof Wenger? Si mnasemaga In Wenger We TrustTimu yangu inakuja huku wiki hii. Wanacheza mechi 2 California, juu ya usajili hali ni ile ile mwendo wa kono kono. Competition msimu huu itakuwa ngumu sana. Hadi sasa nimejiandaa kupoteza mechi 4 vs timu zote toka Manchester, mechi nyingine zinaweza kutuotea au tukawaotea.
Hahahaha hauna imani na Prof Wenger? Si mnasemaga In Wenger We Trust
Nimeona mnamzungumzia yule mchezaji kutoka Algeria wa Leicester
Inauma sana........taarifa ni muhimu kuliko lufanyiwa suprise kama hiyo...........na inategemea aisee kama vipi unatafuta ustaarabu mwingine......Just imagine upo likizo kikazi alafu unakuja kurudi unakuta ofisi yako kapewa mtu mwingine mgeni we umehamishiwa chumba kingine bila hata kukutarifu,
Najua utaendelea kufanya kazi lakini moyoni unajua kabisa kwamba huthaminiwi
Hajalalamika public but bouhafsi ambae yupo karibu sana na kambi ya martial jana ka twit kwamba dogo hajapenda icho kitendo sababu ndio alikua anaanza kuitambulisha rasmi brand yake ya 'AM9' alafu baadae dogo akai unfollow manchester kwenye account yake ya Twitter na instagram, baada ya muda kidogo aka change profile picha yake ya fb
Nimekuelewa msaga sumu. Hizi situation mbili tofauti. Ila kuna watu wanaleta mambo ya ajabu.Mkuu ushasema Raul akaondoka then akaachiwa CR.... Ila hapa kwa Martial yupo wala hajataarifiwa then anapewa Ibra . Hapa ishu kubwa inakuwa ni morality dogo anaona kama kadhauriwa yawezekana kabisa spirit yake ikapungua