Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,861
Baada ya misimu miwili Manure watashuka daraja. Hawajajifunza kwa Chelshit bado. Mouthrinho sio wa kuamini kabisa for long term investment. Atakupa vikombe kadhaa, then anakurudisha unakostahili[emoji12]
Nyie wa long term investmen mna nini?