Timu yangu inakuja huku wiki hii. Wanacheza mechi 2 California, juu ya usajili hali ni ile ile mwendo wa kono kono. Competition msimu huu itakuwa ngumu sana. Hadi sasa nimejiandaa kupoteza mechi 4 vs timu zote toka Manchester, mechi nyingine zinaweza kutuotea au tukawaotea.
Hahahaha nimeupenda ukwel wako mkuu
 
1469431049341.jpg
 
Raul aliindoka baada ya CR7 kuonyesha kiwango,unafikiri kama Martial angejulishwa ndio angefurahi ? Kuna tatizo kubwa wachezaji vijana wa siku hizi wanawaza hela kwanza badala ya ku-concentrate kucheza soka
Hiyo issue ili anzio kwa Figo waqt anatoka bacelona kwenda Madrid aliomba jezi namba 7 akaambiwa hiyo jezi huwezi kupata ni ya kijana wetu Raul.
 
Issue ya ndugu Martial nadhani kaheshimiwa zaid kuliko kuonewa jezi namba 11,kwa utd ni jez ya ki legend kuliko hata hiyo 9 na yeye bado mdogo acheze kwnye kiwango cha juuu mfulilizo then ata ji establish kama entity ya kudumu hapo baadaye

Pia hizo brand alikosea mbona ufaransa ana vaa jezi namba 11!! Naona club haijafanya shda yyte hapo
 
Issue ya ndugu Martial nadhani kaheshimiwa zaid kuliko kuonewa jezi namba 11,kwa utd ni jez ya ki legend kuliko hata hiyo 9 na yeye bado mdogo acheze kwnye kiwango cha juuu mfulilizo tgen ata ji establish kama entity ya kudumu hapo baadaye

Pia hizo brand alikosea mbona ufaransa ana vaa jezi namba 11!! Naona club haijafanya shda yyte hapo
Wanakuza tu...mi sioni ishu kwanza Martial ni mtu poa hapayuki kwenye Media
Suala lake litamalizwa kiungwana tu
 
wachezaji wengi wananyanganywa Number ila Msweden angekuwa anavaa 10 sizani kama Shrek angenyanganywa number 10, Martial atakuwa kakasirika ila sio kwakutaka kuondoka alichokasirika ni Biashara alishaanza kutengeneza ma Logo ya number 9 zaidi ya hapo avae kama Zamorano 1+8.
 
Back
Top Bottom