Nimesoma UPDATE ya Deal la Paul Pogba kuja Manure
Fee yoyote manure watakayokubaliana lazima wamlipe Wakala wake mino Riola £20mil nje ya Fee ya Uhamisho
So kama Manure wata agree mfano £100mil ukijumlisha na £20mil jumla manure mtalipa £120mil
bado kuna Add on ikiwa Pogba atashinda Ballon d'or kama £8mil
Pesa hizo zote kwa kipi alichonacho Huyo Pogba??
£30mil zingetosha kumpata Ng'olo Kante au £20mil kwa Braise Matuidi
My opinion: Hii deal ya Pogba ni Beyond a Joke....nakubaliana na Paul scholes kwa hili