Manchester United (Red Devils) | Special Thread

FB_20160721_03_24_56_Saved_Picture.jpg
 
Nasikia mzee wa "sell or send them on loans" ameanza kupanga mikakati ya kukopesha kina James Wilson, Brackett, Rashford, Martial " the next Macheda", kuuza kina Mata, Rojo, Morgan.. mtaisoma namba.
 
Hii sidhani kama ni kweli Rashford & Martial ungewandoa kwenye list labda ningedanganyika kiduchu.Rojo kwa upande wangu nadhani aina ya mpira wa kasi EPL umemshinda.
 
Bracket alikua kwa mkopo celtic kipindi cha van gaal hata akiondoka haina shida kwangu, wilson alikua brighton kwa mkopo, rash ford aliwahi kaliliwa akisema kapigiwa simu na mou kwamba yupo kwenye mipango yake, martial kuondoka ni kama ndoto za mchana.

Rojo kama atabaki msimu huu itakua ni make it or break it, itambidi akomae saaaana
 
Nasikia mzee wa "sell or send them on loans" ameanza kupanga mikakati ya kukopesha kina James Wilson, Brackett, Rashford, Martial " the next Macheda", kuuza kina Mata, Rojo, Morgan.. mtaisoma namba.

Unajaribu kufananisha uongo na ukweli.
Hapo kuondoka labda mmoja tu ambaye ni Bracket.
 
Oya game ya leo ya man u na wale vibonde wa Bundasliga ni saa ngap....???
 
Mi ni shabik Wa man u
Ila binafs sijamkubal pogba na sion kama pogba anaweza kuwa msaada pale ot
Sijaona cha muhm alichokifanya cha kutisha mpaka kununuliwa kwa kias kikubwa hivo
Ni bora matuid angeweza kuwa na msaada mkubwa sana kulko pogba
Pia kwa stayl ya mou
Matuid alikuwa ni bora zaid ya pogba
Ni mtazamo tu
 
Tuna Morgan, alafu jamaa ana 29 wakati pogba ana 22, ( zlatan & bastian tumewasajili na umri mkubwa sababu za kibiashara)

Sina maana kwamba jamaa sio mzuri, ni mzuri ndio but sidhani kama itakua ni massive improvement kwenye mido yetu pia tunahitaji mchezaji ambaye ni more creative dan him.
 
Back
Top Bottom