Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu herrera inabidi tuwe na subra kiduchu mafanikio katika soka yanahitaji muda si jambo la kuanza leo na kumalizika kesho.Lazima ukubali kwanza kubadili timu ya Sir Alex si jambo rahisi wachezaji wengi aliwarithi kutoka kwake na baadae Moyes hawakufiti katika mfumo wake.Nimeona mahali umemponda Fellaini lakini ukasahau hakuletwa na Van bali Moyes kwaajili ya mfumo wake.

Makocha wengi wa nje ya Uk ni shida sana kuzoea soka la EPL utaona Guadiola atakavyopata shida msimu wa kwanza na akikutana na owner wasiokuwa na uvumilivu hakika atatimuliwa sasa niambie utasema kocha mbaya au mazingira husika hayakuwa rafiki.Mfumo wa Sir Alex ni tofauti na Van anayependelea ball possession zaidi wachezaji wa Sir Alex wengi hawakuwa tayari kwa mpira huo,walimchukua Van walijua fika tactically yuko vipi.

Man ingefanya kosa moja kubwa sana iwapo wangekubali kuitosa kitu kilichojengwa kwa miaka miwili.Kumchukua Mourinho maana yake angeitaji wachezaji wengine wapya kati ya 7 hadi 10 kitu ambacho sikiafiki hata kidogo.Tungepoteza wachezaji wengi ambao tayari wamefikia kiwango cha juu let say 60% - 70% ya mbinu za Van.Faida za kuendelea na Van ni kubwa kuliko kumtupia virago sasa.Man ya sasa inahitaji wachezaji watatu au wanne hivi basi.
Apart from madogo vipi kwa aliowanunua ukimtoa Antony japo amestruggle sana, je wamefiti mfumo wake wa uchezeshaji?
 
Mkuu kwanza itabidi tukubaliane kwanza kwamba kwa miaka miwili aliyokaa van gaal man u tunacheza Mpira m-boovu sana bora hata kwa Moyes man ilikua inacheza attacking football kuliko saiz, msimu unaelekea kuisha ila sidhani kama tumefikisha hata goli 50 kwenye ligi.

Licha ya kutumia £250+ mill kwenye usajili bado tunalalamika na injury plus kumtegemea mtoto wa shule rash ford aliyepata nafasi baada ya Rooney kuumia ndio atusaidie, ( zisingekua injuries hawa akina Fosu mensah na akina rashford wasingepata nafasi)

Alafu suala la makocha wa kigeni kuhangaika england sio kweli chief, pellegrin alifika 2013 man city na 2014 kawapa makombe mawili,

Jurgen kloop kaingia katikati ya msimu na hajafanya usajili wowote so far ila kawafikisha liva kwenye final mbili na tukiweka unazi pembeni liva ya sasa sio ile ya Rodgers, wanapiga mwingi mnoo.

Mou kipindi anafika Chelsea kwa Mara ya kwanza 2004, alichukua kombe la ligi baada ya kucheza fainal na livapuli na kuwatandika tatu, akachukua premier league Mara mbili mfululizo, sasa kwanini ugumu wa ligi unatokea kwa van gaal tu? Pia usisahau kuwa hakuna kocha wa kiingereza yeyote aliyewahi kuchukua ligi

Van gaal kwangu Mimi ni big failure na kuendelea kuwa nae ni kututafutia ugonjwa wa moyo mashabiki, no changing in tactics, poor philosophy, boring team, alichobakiza saiz ni kujisifu kuwakuza watoto tu as if we become a selling club lyk ajax, maana upande wa makombe yake 3/4 aliyapata miaka ya tisini.
 
So far LVG amechemsha Manchester United but hakuna guarantee kama Mourinho atafanikiwa akiwa United hasa alivyoharibu Chelsea msimu huu na ili apewe timu Jose inabidi akubali kubadilika sana .Hizo statistics za Madrid kwa wachezaji waliopo Bayern,Barca,Madrid ni rahisi sana kupata mafanikio aliyoyapata umeona Zizou kapewa timu na ndani ya muda mfupi amefikisha timu sehemu nzuri.Hata Pep pamoja na kuchukua Bundesliga misimu 3 lakini wanamponda kuwa amefeli.I think ni wakati bora kumpa timu Giggs hata akipata matokeo kama haya ni afadhali
 
Bora kuwa na giggs ( endapo mou ikishindikana) kuliko kuendelea na van gaal aisee.
 
j

LVG ni old model coach ni ngumu sana kufanikiwa EPL ya sasa,kinachompa kiburi zaidi timu alizofundisha huko nyuma alifanya vizuri
 
Alifukuzwa Barcelona
Akifukuzwa Bayern

Sehemu pekee ambayo hakufukuzwa ni Netherlands National team kule Brazil!!
 
Mkuu herrera inabidi tuwe na subra kiduchu mafanikio katika soka yanahitaji muda si jambo la kuanza leo na kumalizika kesho.Lazima ukubali kwanza kubadili timu ya Sir Alex si jambo rahisi wachezaji wengi aliwarithi kutoka kwake na baadae Moyes hawakufiti katika mfumo wake.Nimeona mahali umemponda Fellaini lakini ukasahau hakuletwa na Van bali Moyes kwaajili ya mfumo wake.

Makocha wengi wa nje ya Uk ni shida sana kuzoea soka la EPL utaona Guadiola atakavyopata shida msimu wa kwanza na akikutana na owner wasiokuwa na uvumilivu hakika atatimuliwa sasa niambie utasema kocha mbaya au mazingira husika hayakuwa rafiki.Mfumo wa Sir Alex ni tofauti na Van anayependelea ball possession zaidi wachezaji wa Sir Alex wengi hawakuwa tayari kwa mpira huo,walimchukua Van walijua fika tactically yuko vipi.

Man ingefanya kosa moja kubwa sana iwapo wangekubali kuitosa kitu kilichojengwa kwa miaka miwili.Kumchukua Mourinho maana yake angeitaji wachezaji wengine wapya kati ya 7 hadi 10 kitu ambacho sikiafiki hata kidogo.Tungepoteza wachezaji wengi ambao tayari wamefikia kiwango cha juu let say 60% - 70% ya mbinu za Van.Faida za kuendelea na Van ni kubwa kuliko kumtupia virago sasa.Man ya sasa inahitaji wachezaji watatu au wanne hivi basi.
Mkuu napingana na wewe, kwenye kikosi cha sasa wachezaji wa Babu ni wangapi? hivi umefatilia record ya uyu LVG? mara nyingi msimu wake wa kwanza anachukua kombe kabla ile timu alioikuta haijasambaratika. Mfano mzuri ni Bayern alichukua kombe ila msimu uliofata aliwaacha nafas ya 13 .Sijui unamtetea ili nini wakati watu wanajua uyu mzee ana tactics mbovu za mpira. Bayern kafukuzwa,Barcelona kafukuzwa kutokana na kuharibu timu
 
Mkuu kwanza itabidi tukubaliane kwanza kwamba kwa miaka miwili aliyokaa van gaal man u tunacheza Mpira m-boovu sana bora hata kwa Moyes man ilikua inacheza attacking football kuliko saiz, msimu unaelekea kuisha ila sidhani kama tumefikisha hata goli 50 kwenye ligi.

Licha ya kutumia £250+ mill kwenye usajili bado tunalalamika na injury plus kumtegemea mtoto wa shule rash ford aliyepata nafasi baada ya Rooney kuumia ndio atusaidie, ( zisingekua injuries hawa akina Fosu mensah na akina rashford wasingepata nafasi)

Alafu suala la makocha wa kigeni kuhangaika england sio kweli chief, pellegrin alifika 2013 man city na 2014 kawapa makombe mawili,

Jurgen kloop kaingia katikati ya msimu na hajafanya usajili wowote so far ila kawafikisha liva kwenye final mbili na tukiweka unazi pembeni liva ya sasa sio ile ya Rodgers, wanapiga mwingi mnoo.

Mou kipindi anafika Chelsea kwa Mara ya kwanza 2004, alichukua kombe la ligi baada ya kucheza fainal na livapuli na kuwatandika tatu, akachukua premier league Mara mbili mfululizo, sasa kwanini ugumu wa ligi unatokea kwa van gaal tu? Pia usisahau kuwa hakuna kocha wa kiingereza yeyote aliyewahi kuchukua ligi

Van gaal kwangu Mimi ni big failure na kuendelea kuwa nae ni kututafutia ugonjwa wa moyo mashabiki, no changing in tactics, poor philosophy, boring team, alichobakiza saiz ni kujisifu kuwakuza watoto tu as if we become a selling club lyk ajax, maana upande wa makombe yake 3/4 aliyapata miaka ya tisini.
kwenye ligi tumefunga magol 43 tuko sawa na Norwich anaepambana kushuka daraja
Tumefunga magol 43 na tumefungwa magol 31 ,tofauti ni gol 12 na mpaka sasa amna mchezaji aliefunga gol 10.Hii ni Man U mbovu sana
 
Alafu suala la makocha wa kigeni kuhangaika england sio kweli chief, pellegrin alifika 2013 man city na 2014 kawapa makombe mawili,

Jurgen kloop kaingia katikati ya msimu na hajafanya usajili wowote so far ila kawafikisha liva kwenye final mbili na tukiweka unazi pembeni liva ya sasa sio ile ya Rodgers, wanapiga mwingi mnoo.

Mou kipindi anafika Chelsea kwa Mara ya kwanza 2004, alichukua kombe la ligi baada ya kucheza fainal na livapuli na kuwatandika tatu, akachukua premier league Mara mbili mfululizo, sasa kwanini ugumu wa ligi unatokea kwa van gaal tu? Pia usisahau kuwa hakuna kocha wa kiingereza yeyote aliyewahi kuchukua ligi.

Braza unasahau hizo timu hazijawahi kuwa na kocha aliyekaa kwenye timu kwa miaka 20+ Siyo jambo dogo kwa timu ku-move on baada ya kocha wa namna hiyo kuondoka. Mourinho alivyokuja mwaka 2004 alikuta Ranieri ameshaandaa timu nzuri. Kumbuka aliipeleka Chelsea nusu fainali ya UCL. Hivyo usitake kumpa Mourinho credits zote.

Unaongelea Liverpool kuupiga mwingi, unasahau Liverpool hao hao walikuwa kidogo tu wachukue ubingwa wa EPL msimu mmoja uliopita chini ya Rodgers.

Na unavyosema hakuna kocha wa kiingereza aliyewahi kuchukua ligi unamaanisha nini? Unamaanisha England kama Uingereza ama UK kama Uingereza? Maana SAF na Kenny Daglish wote ni waingereza kwa kuwa Scotland ni a devolved administration iliyo chini ya a sovereign state, UK.
 
Kocha wa kiingereza nilimaanisha uingereza kama england ( Scotland nili ignore maana nako kuna ligi yao )
 
Alifukuzwa Barcelona
Akifukuzwa Bayern

Sehemu pekee ambayo hakufukuzwa ni Netherlands National team kule Brazil!!

Alifukuzwa lakini alifanya vizuri,kumbuka Pelegrini,Anceloti,Mourinho pamoja na kuwa makocha wazuri nao walifukuzwa
 
1 de Gea
25 A Valencia
12 Smalling
5 Rojo
36 Darmian
16 Carrick
35 Lingard
8 Mata
21 Herrera
7 Depay
10 Rooney

Substitutes
11 Januzaj
20 Romero
28 Schneiderlin
33 McNair
43 Borthwick-Jackson
51 Fosu-Mensah
 
timu inavyocheza sizani kama kuna matumaini ya ushindi....ahhh leo LVG ndani ya SUN GOGOS
 
Mkuu herrera ni kweli Mourinho ni kocha mzuri lakini mwenye vitu vingi ambavyo haviendani na falsafa ya Manchester united moja kubwa ni kutowapa madogo wa kikosi B nafasi katika kikosi chake.Pili falsafa yake imejikita zaidi katika mpira wa kuzuia zaidi kuliko kushambulia defence tactics hili ndio jambo nisilolipenda kabisaaaa.

Ujio wa Mourinho ungeweza kusambatatisha matumaini ya makinda walioibuliwa na Van kwakuwa Mourinho ni mpenzi wa wachezaji established sio raw player kabisa.Nina uhakika Makinda wengi walioibuliwa na Van watakuwa chahcu kubwa ya ushindi msimo ujao ikiwa bench la ufundi litaachwa kama lilivyo.

Ikumbukwe msimo huu chini ya Van Man imekubwa na majeruhi wengi sana wa kikosi cha kwanza.Kabla ya majeruhi Man ilikuwa inacheze vizuri.Hakika kama sio kuvunjika mguu Luke Shaw,kuumia Young,Valencia,Jones majerui wa muda mrefu na wengine wa muda mfupi hakika tungekuwa tunagombania ubingwa au nafasi ya pili.
LVG hajaibua vipaji isipokuwa aliowakuta kawapa nafasi na alikuwa hana jinsi maana kikosi cha kwanza wengi walikuwa majeruhi.
 
6197919daa291180fad62a1bd4b87caf.jpg
 
Back
Top Bottom