Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hiyo tuzo amechukua David de Gea. Smalling amechukua
MCHEZAJI BORA KWA WACHEZAJI .
bea726e9047cd20be5dc90e456a8c904.jpg
De Gea deserved zote
864fc1dd1b6a3bc74d683da6f17fa0cd.jpg
 
Jose Mourinho asked by Manchester United bosses to wait a year before taking Old Trafford hotseat
But Special One is desperate to take over Red Devils at the end of the month
JOSE MOURINHO was asked by Manchester United bosses to wait a year for the Old Trafford hotseat.

But the Special One wants to be back in football this summer — six months after the sack at Chelsea.

And the Portuguese now believes he is closer than at any stage to being confirmed as the next United boss — probably by the end of the month after Louis van Gaal has led his side into the FA Cup Final with Crystal Palace.

United chief Ed Woodward hoped Mourinho might accept the proposal and opt for a lucrative 12-month spell in the Chinese Super League ahead of a move to Manchester.
The approach to Mourinho’s agent Jorge Mendes came straight from the Old Trafford high command led by Woodward in the past fortnight.

The plan suggested Woodward is still reluctant to sanction cutting short Van Gaal’s three-year contract 12 months early because it would be further evidence of his error in appointing the Dutchman in the first place.

Mourinho has not hidden his desire to get back in the managerial saddle this summer after his bruising final months at Stamford Bridge.

The former Porto, Inter Milan and Real Madrid chief feels the challenge of restoring United to their previous position at the top of the tree is the ideal one for him to take on at this stage of his career.

01_04220122_a22101_2842452a.jpg

My take kama kuna jambo ambalo limenifurahisha ni kitendo cha kuhakikisha Van anaendelea na mikoba ya kuwalea madogo msimu ujao.
 
Jamaa humtaki kabisa Mourinho herrera unamsikia huyu jamaa?
 
Hahahaaa tupo tofauti chief, wengine raha ya mpira ni kuona vijana wanacheza hata ukikaa miaka 10+ bila ubingwa kama spurs na soton, lakini kwangu raha ya mpira ni ushindi na makombe labda sababu nilianza kuangalia mpira kipindi tupo on fire,

Van gaal + fellain ni vitu pekee ambazo sivihitaji utd kwa sasa, nitakacho mkumbuka van gaal hata akiondoka sasa ni kuwa dominate livapuli basii.
 
HAHAHAAAAAAA yaya toure anasema alikua hajui kama anaenda kujiunga city, alijua ni utd,

Yaya Toure: I thought I was joining Man Utd from Barcelona

Way back Robinho nae alishasema kama alikua hajui kama kuna timu nyingine Manchester zaidi ya utd.

http://m.goal.com/s/en-gb/news/2896...-know-about-my-manchester-city-move-until-the

Kwenye first press conference ya otamendi wakati kasajiliwa na city alisema kilichomvutia zaidi kujiunga na Manchester city ni history ya club hiyo, swali ni je man shit ina historia gani hadi ikamvutia otamendi, isije ikawa nae alichanganya na utd.
 
Huyo alichanganya, anaona noma kusema
 
Hahahaaa tupo tofauti chief, wengine raha ya mpira ni kuona vijana wanacheza hata ukikaa miaka 10+ bila ubingwa kama spurs na soton, lakini kwangu raha ya mpira ni ushindi na makombe labda sababu nilianza kuangalia mpira kipindi tupo on fire,

Van gaal + fellain ni vitu pekee ambazo sivihitaji utd kwa sasa, nitakacho mkumbuka van gaal hata akiondoka sasa ni kuwa dominate livapuli basii.

Mkuu herrera ni kweli Mourinho ni kocha mzuri lakini mwenye vitu vingi ambavyo haviendani na falsafa ya Manchester united moja kubwa ni kutowapa madogo wa kikosi B nafasi katika kikosi chake.Pili falsafa yake imejikita zaidi katika mpira wa kuzuia zaidi kuliko kushambulia defence tactics hili ndio jambo nisilolipenda kabisaaaa.

Ujio wa Mourinho ungeweza kusambatatisha matumaini ya makinda walioibuliwa na Van kwakuwa Mourinho ni mpenzi wa wachezaji established sio raw player kabisa.Nina uhakika Makinda wengi walioibuliwa na Van watakuwa chahcu kubwa ya ushindi msimo ujao ikiwa bench la ufundi litaachwa kama lilivyo.

Ikumbukwe msimo huu chini ya Van Man imekubwa na majeruhi wengi sana wa kikosi cha kwanza.Kabla ya majeruhi Man ilikuwa inacheze vizuri.Hakika kama sio kuvunjika mguu Luke Shaw,kuumia Young,Valencia,Jones majerui wa muda mrefu na wengine wa muda mfupi hakika tungekuwa tunagombania ubingwa au nafasi ya pili.
 
Chini ya van gal timu itaongeza wachezaji wapya na washajua maeneo ya kuyafanyia kazi timu inafanya vizur msimu ujao ni washambuliaji wakubwa wawili 4 na 5 pia 6/8 na 11 au 7
 
Mkuu herrera ni kweli Mourinho ni kocha mzuri lakini mwenye vitu vingi ambavyo haviendani na falsafa ya Manchester united moja kubwa ni kutowapa madogo wa kikosi B nafasi katika kikosi chake.Pili falsafa yake imejikita zaidi katika mpira wa kuzuia zaidi kuliko kushambulia defence tactics hili ndio jambo nisilolipenda kabisaaaa.

Ujio wa Mourinho ungeweza kusambatatisha matumaini ya makinda walioibuliwa na Van kwakuwa Mourinho ni mpenzi wa wachezaji established sio raw player kabisa.Nina uhakika Makinda wengi walioibuliwa na Van watakuwa chahcu kubwa ya ushindi msimo ujao ikiwa bench la ufundi litaachwa kama lilivyo.

Ikumbukwe msimo huu chini ya Van Man imekubwa na majeruhi wengi sana wa kikosi cha kwanza.Kabla ya majeruhi Man ilikuwa inacheze vizuri.Hakika kama sio kuvunjika mguu Luke Shaw,kuumia Young,Valencia,Jones majerui wa muda mrefu na wengine wa muda mfupi hakika tungekuwa tunagombania ubingwa au nafasi ya pili.
Apart from young players ni kitu gani ambacho utajivunia kutoka kwa van gaal chief? Unaridhishwa na staili ya uchezaji wetu? Vipi kuhusu matokeo?

Mou kawapa nafasi akina varane, balloteli, zouma, morata, Johnson alimsajili cech akiwa na umri mdgo sina uhakika sana kuhusu lampard kama alipelekwa na ranieri au ni mou mwenyewe,

Hili la kuwa yupo so defensive inawezekana kweli ( ila Mimi nalikataa maana record zinagoma)
Kwanza ikumbukwe Chelsea + Madrid yake ndio iliweka record ya kuchukua ubingwa ikiwa na point nyingi.

Pili embu angalia record za magoli katika misimu aliyokaa Madrid

2010/2011
Madrid : 102
Barca : 95

2011/2012
Madrid : 121
Barca. : 114

2012/13
Madrid : 103
Barca. : 115
 
Mkuu herrera inabidi tuwe na subra kiduchu mafanikio katika soka yanahitaji muda si jambo la kuanza leo na kumalizika kesho.Lazima ukubali kwanza kubadili timu ya Sir Alex si jambo rahisi wachezaji wengi aliwarithi kutoka kwake na baadae Moyes hawakufiti katika mfumo wake.Nimeona mahali umemponda Fellaini lakini ukasahau hakuletwa na Van bali Moyes kwaajili ya mfumo wake.

Makocha wengi wa nje ya Uk ni shida sana kuzoea soka la EPL utaona Guadiola atakavyopata shida msimu wa kwanza na akikutana na owner wasiokuwa na uvumilivu hakika atatimuliwa sasa niambie utasema kocha mbaya au mazingira husika hayakuwa rafiki.Mfumo wa Sir Alex ni tofauti na Van anayependelea ball possession zaidi wachezaji wa Sir Alex wengi hawakuwa tayari kwa mpira huo,walimchukua Van walijua fika tactically yuko vipi.

Man ingefanya kosa moja kubwa sana iwapo wangekubali kuitosa kitu kilichojengwa kwa miaka miwili.Kumchukua Mourinho maana yake angeitaji wachezaji wengine wapya kati ya 7 hadi 10 kitu ambacho sikiafiki hata kidogo.Tungepoteza wachezaji wengi ambao tayari wamefikia kiwango cha juu let say 60% - 70% ya mbinu za Van.Faida za kuendelea na Van ni kubwa kuliko kumtupia virago sasa.Man ya sasa inahitaji wachezaji watatu au wanne hivi basi.
 
Back
Top Bottom