Manchester United (Red Devils) | Special Thread

9d824c2eb0acd5a50435d1396fa981ca.jpg

Smalling kachukua tuzo ya mchezaji bora wetu msimu huu y not De Gea
 
Rooney ndo kaniboa et aliona haez ku m vote goalkeeper
Cjui ana fakilia makalio uyu dogo!!

De gea au martial ndo iltakiwa wapate
Rooney c anajikuta baba mwenye timu wachezaji wa uingereza ndo wapo ivyo
 
Aaah
Kanikera kweli bora ata asnge ongea mkuu
Maana bila de gea c tungekuwa jiran na watford au chelshit
Kweli kabisa De gea anatusave japo wanasemaga ndo kazi ya golikipa ila yeye afanya zaidi juhudi na uwezo binafsi
 
Oooooohhhhh Yeeessssssss, welcome to Manchester utd, Anthony martialllllllllll.........

Alikua ni Martin Tyler akitangaza goli bora la mwaka kwa club yangu pendwa Manchester utd,

Hahahaaaaaaa OOOOOOOHHHHHH YEEEEESSSSSSSS ( just lyk he had an orgasm Martin Tyler)
 
KIPA wa Manchester United David de Gea ameweka Historia ya kuwa Mchezaji wa kwanza Klabuni hapo kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka mara 3 mfululizo baada ya Jana kutunukiwa ile ya Mwaka 2016.
3ee7b2c2ee539b97decc8d0955684f25.jpg
 
02/05/1993, Peter schmeichel wins Premier League title

02/05/2016, Kasper Schmeichel wins Premier League title

Liverpool last won the league in 1990, so that means, Peter Schmeichel won the league and had a son who also won the
league.... and Liverpool still haven't won it.

Schmeichel's 2-0 liverpool.

But they are still finding the right manager and right players for their shit club.
 
cc: MosDef
 
Zile enzi za kina barnes na Bruce yule mzimbabwe kina rush kurudi sio mchezo.
 
Back
Top Bottom