Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Atachukua Europa bila tatizo lakini hata athiri top fourWakuu naomba kujuzwa, hivi ikitokea Liverpool akachukua Europa, ataathiri vipi top four kwenye kuingia ECL???
Atachukua Europa bila tatizo lakini hata athiri top fourWakuu naomba kujuzwa, hivi ikitokea Liverpool akachukua Europa, ataathiri vipi top four kwenye kuingia ECL???
Atachukua Europa bila tatizo lakini hata athiri top four
Ndio zitaingia tano. Bingwa wa Europa League anaingia moja kwa moja kwenye makundiSo kwa kuwa ataingia ECL moja kwa moja, ina maana timu za Uingereza zitaingia tano UCL???
Jamani washabiki wenzangu
Ni bora tuwe na Van Gaal na tukiwa UCL
Au tukose na mourinho aje!!??
Eb tutoe mawazo
Van Gaal mwenyewe yupo kwenye wakati mgumu maana tusipoingia UCL anakatwa karibu nusu ya mshahara,tukipata FA cup at least itamuongezea ahueni.Jamani washabiki wenzangu
Ni bora tuwe na Van Gaal na tukiwa UCL
Au tukose na mourinho aje!!??
Eb tutoe mawazo
. Mimi kwangu I prefer mostly magoli na makombe kwa sana tu, siku hizi unatizama mechi huku uko chini ya uvungu na live goal score Yako ukiona goal ndo unaibuka na makelele kibao
Ndio mimi ni shabiki wa Man UKwanza kabisa tuanzie na kukuuliza Do you really belong to MUFC community??? Maana nahisi kama unatumock tu hapa.
Mkuu hizi mechi mbili kuingia top four ni mpaka tushinde mechi ya jumanne vs West Ham na sio kutoa draw au man city apate draw mechi yake ya mwisho na sisi tushinde moja na draw moja tutakuwa tumefikisha point amabazo city hawez zifikia lasivyo safar yetu ni EuropaArsenal ameshatufanyia kazi. Kazi iliobaki ni kushinda mechi zote mbili tushirik champion leagau
Ndio maana nikasema kazi iliobaki ni kushinda mechi zote mbili zilizobaki . tukishinda hizo mechi ajilishi city ashinde au atoe drooMkuu hata tukishinda hizo mechi mbili kuingia top four ni mpaka man city apoteze au kutoa draw mechi yake iliyobaki ...akishinda mechi yake iliyobaki matumaini ya kumake top four yatakuwa yameishia hapo ...maana city ana GD kubwa..tutakuwa nae sawa kipoint ila atatuzidi GD..
Sis tuna Game mbili yeye ana moja ya mwisho hata akishinda na sisi tukishinda zote tutamzidi point 1Mkuu hata tukishinda hizo mechi mbili kuingia top four ni mpaka man city apoteze au kutoa draw mechi yake iliyobaki ...akishinda mechi yake iliyobaki matumaini ya kumake top four yatakuwa yameishia hapo ...maana city ana GD kubwa..tutakuwa nae sawa kipoint ila atatuzidi GD..
Na tena Asrenal akifungwa mechi yake ya mwisho city na united wakishinda mechi zao zote . Asrenal atashika nafasi ya 5, city 4 na united ya 3Sis tuna Game mbili yeye ana moja ya mwisho hata akishinda na sisi tukishinda zote tutamzidi point 1
RRONDO
Nzi
everlenk
Hongereni sana kwa kucheza CL,majirani wenu hawana team msimu huu na wanastahili kucheza YUROPA!
MAJOGOO siku nyingi yapo CL na tunaingia moja kwa moja kwenye makundi,nyie mtaanzia kwenye mtoano na mnaweza pangiwa na Red Brigade ya Yugoslavia ya zamani ya wajamaa ikawa kazi ngumu ehehehehe
Nani hapa sasa anapenda akutane na MAJOGOO?
Sevilla ana record nzuri sana na hii michuano kwa miaka hii miwili iliyopita...amebeba hili kombe mara zote alizofika finalKwani kishabeba kombe? Sevilla una unamuona kibua
Klopp kishapoteza fainali ya kwanza mbele ya city anaempigaga rondo aweke akiba ya maneno sevilla sio timu nyepes hata kidogo nao wanaitolea macho hii nafas ili waende ucl.Sevilla ana record nzuri sana na hii michuano kwa miaka hii miwili iliyopita...amebeba hili kombe mara zote alizofika final
Ukweli mtupuSo far so bad, two matches to go man u tumefunga magoli 44 kati ya mechi 36 tulizocheza hadi sasa, ( amazing) goli tisa tu mbele ya Norwich anaekomaa kutoshuka daraja, msimu wa 2011/12 tulifunga magoli 89 inamaana msimu huu tumefunga nusu,
Toka nimeanza kuipenda Manchester nakumbuka msimu wa 2004/05 ndio msimu ambao tulikua na goli chache sana goli 58, japokua history inaonesha msimu wa 1989/90 tulikua na goli 46 tulimaliza wa 13, mwaka 1988/89 goli 45 tulimaliza wa 11, msimu uliopita tulikua na goli 62.
Game saba tumecheza nyumbani bila goli ( Newcastle, shittty, west ham, Chelsea, soton, PSV, Middles borough)
Game sita za away bila goli ( arsenal, palace, stoke, WBA, spurs, looserfool) jumla utaona tumecheza mechi 13 bila kupata goli lolote, huku tukiwa na namba ndogo sana ya shoot on target ( Ngongo huu ndio mpira wa kushambulia, attacking football unayoitaka?)
Tunaongoza kuwa na clean sheets nyingi kwenye ile top eight si kwa sababu tunadefence nzuri bali ni sababu ya uwepo wa de gea langoni,
AU hii inakuaje? Tunagoli chache na clean sheets nyingi au hii sio defensive football?
Kuna sehemu nilikua nacheki ni timu moja tu toka serie A, EPL na la liga ambayo ilimaliza ndani ya top six ikiwa na goli chini ya 50 ( Villarreal msimu uliopita) ndani ya miaka mitano iliyopita.
Toka primier league ikaanza timu zilizomaliza ndani ya top six na goli pungufu ya 50 ni
Betis '95,
Arsenal '96
Aston Villa '97
West Ham na Mallorca 99
Aston Villa na Alavés '00
Betis in '02, Celta Vigo in '03
Aston Villa, Sampdoria na Palermo '04
Everton, Bolton, Livorno* na Sevilla '05
Celta Vigo na Osasuna 06
Villareal '07
Racing Santander '08
Sampdoria '10
Villareal '15
Sasa ukiangalia kwenye orodha hiyo ukiachana na arsenal ya Bruce, hizi timu zingine zote ni average timu ambazo zilikamua above their weight, and that is the level we've dropped to.
Still watu wanamkataa mou kwamba hana attacking football, is this an attacking football tunayoitaka?
Ngongo
Doh! Kwa hiyo anachofanya kipa katika kulinda goli wewe unaona siyo sehemu ya defense? Hata golikipa anavyoitwa mlinda mlango wa goli hufahamu?Tunaongoza kuwa na clean sheets nyingi kwenye ile top eight si kwa sababu tunadefence nzuri bali ni sababu ya uwepo wa de gea langoni,
AU hii inakuaje? Tunagoli chache na clean sheets nyingi au hii sio defensive football?
Chief nilichoongea hapo ilikua ni kuhusu ile kauli ya Ngongo kwamba kitu kikubwa asichompendea mou ni ile falsafa yake ya kujilinda sana ( defensive football) sasa ndio nikauliza inakuaje tunakua na clean sheet nyingi huku tukiwa na goli chache? Hii sio defensive football?Doh! Kwa hiyo anachofanya kipa katika kulinda goli wewe unaona siyo sehemu ya defense? Hata golikipa anavyoitwa mlinda mlango wa goli hufahamu?
Kaka, naelewa your 'frustrations' lakini jaribu kuwa objective na realistic kidogo. Nimesema humu na wadau wengi wamesema, kwamba siyo kazi ndogo kwa timu kutulia baada ya kocha aliyekaa na timu kwa miaka 26 kuondoka. Umekuwa ukitolea mifano ya timu mbalimbali, lakini sijaona ukitolea mfano wa timu ambayo ilikuwa na kocha mmoja kwa miaka 20+ na jinsi ilivyoweza kufanya baada ya kocha kuondoka.